Kenyans in the diaspora sent back home remittance worth $ 3 billion in 2020

Kwenda USA na Europe kubeba mabox sio [emoji3][emoji3][emoji3]
Kisha mkiletewa vitu wanvyomiliki wakenya marekani na europe mtaanza kulialia[emoji1787][emoji1787]
We unajua europe na marekani ndio sehemu ambayo labour charge iko juu sana
 

Wabongo mnatandikwa na Wachina kungfu licha ya kupigwa na watawala wenu, nyie legelege mnapigwa na wageni na pia mnapigwa na watawala wenu, kwanza mwanamke anapiga mijitu ya kiume mnalazwa chini kama mazombi, hovyoo sana nyie watu, na mlivyo maskini kwenu huko na mlioshindwa kujituma tunawafunika hata kazi za diaspora kwa mlivyo wazembe wasiojua hata English.
Hebu soma hizi taarifa hapa uone mnavyopigwa na Wachina kila siku, tena kungfu Raia wa China watimuliwa kwa kuwapiga makonde Watanzania
 
Kenyans in Tanzania have contributed to that too!
Offcause there is some truth in your view the problem is you are an echo chamber per excellence yet you know nothing another than
Tuta ziduwa miradi YouTube clips
 
3$ B in Kenya ni leading source of national forex

Wakati almost the same percent in Tanzania is not even making 30% of the total national forex reserve

Yaani mnazidi kuonesha namna uchumi wenu ulivyo wa makaratasi na fake

View attachment 1667207
Do you even know the meaning of foreign currency reserve?
 
Since when did foreign exchange lead to economic instability? Why then do you market your tourism spots to foreign travellers? Why do you export gold and other valuables outside your country? Are these not sources of foreign income? Ama inakua tu mbaya Kenya ikipokea nyingi kuwaliko? Poor souls
 
Inflation ya Kenya iko bambam. Imechezea chini ya 10% kwa miaka nyingi sasa. Halafu hio pesa haitumiki tuu kwa matumizi ya kila siku bali inatumika pia kufanya investments ikiwemo kununua mashamba na viwanja na kujenga majumba na kadhalika.
In fact most of this money goes into investment.
 
In 2018, Kenyans abroad remitted more money than the rest of east African countries combined. The amount of money Kenyans sent back home that year eclipsed those sent by Tanzanians, Ugandans, Rwandese, Burundians, Sudanese and Ethiopians combined! Na Watu bado wanapiga kelele hapa JF

 
Hii nchi nazani kwa sasa hata walioko nje wanaogopa kutuma pesa Tanzania.

India kama sijakosea ndo nchi ambayo Diaspora wake wanaongoza kwa kutuma nyumabani pesa nyingi kuliko nchi yoyote ile Duniani.

Kenya hawako mbali Trlion 7 na ni pesa mingi sana kwa uchumi wa nchi.

Tuendelee kuongozwa na washamba kwanza.
 
Wewe ulitakaje kwa mfano
 
Kupokea hela nyingi kidogo kutoka nje ya nchi imekuwa kama kutoa bikra ya mdada mwenye miaka 25+
 
Tanzania lipo tatizo tafsiri sheria ya kutakatisha pesa wafanyabiashara madini wanasumbuliwa sana ili hali wana nyaraka.
 
Tz tilikuwa huko ila now a day wamesusa kutokana na sheria ngumu za ndani. Kweli maendeleo hayana chama
 
Mtu anatumiwa pesa mnamuuliza za nini?
Ushamba umekaa pabaya sana
 
kutegemea remittance kuendesha uchumi ni failure sign of Macroeconomic policies at home!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…