Kenyans on Twitter (KOT) wameforce CNN kuedit their misleading story

Kwa hivyo kumbe Rais wenu pia anahusika na mambo ya hashtag? Hashtag na hadhi ya Rais wapi na wapi?
We jamaa ni kichwa boga kupindukia na ni wazi kwamba unakurupuka tu na huna ufahamu wowote wa kinachozungumziwa hapa. Kama kiingereza kinakukanganya tafuta tafsiri kwa kiswahili. Sio unajiabisha bure na ujuaji wako wa peni mbili.
 
Rais wenu ni cheap sana na ni dictator uchwara
 
Hivi yule mdada wa Ke aliambia dunia at OLTUPAI "Olduva" gauge ipo kenye alikua na akili timamu au? tena akiihubiria dunia kwa stage!!
 
Getting access to the president is not an indication of being cheap but an indication of democratic leadership and access to leaders and those in power, when your priorities are misplaced even your mindset is on the same path.
Hujui kwamba hawa president kwao ni mungu? 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…