Kenyans Ranked As The Worst Bullies On Twitter By UN Body.

Zipo nchi ambazo zipo vizuri kwenye government criticism mfano mzuri ni US, take your time to learn weight of US citizenry criticism towards Trump on the twitter.com then come to you dogs kids

Yaani ninyi kama kuharisha huko mitandaoni ndio mnaona ufahari kwamba ndio free speech basi mna safari ndefu sana, huwezi kumuona mtanzania kwenye handlers za viongozi wa juu kabisa wa Kenya akitroll impersonations towards foreign leader

Ninyi wahuni mliokosa malezi ya Familia, watoto mliokulia majalalani na madanguroni mnaona that's a standard behavior, mna safari ndefu sana.
 
ToT yao labda wapigane wenyewe kwa wenyewe... Kiswahili is limited to Tz and Kenya only na bado wana- surrender wakisikia KoT.
LOL huyo sio mtanzania
Yaani ninyi bado hamjawajuaga watanzania tu

Watanzania ni wato conservatives kichizi, very calm and deep na huwa wapogo na mishe zao tu, huo upumbavu wa madness solidarity watanzania hawanaga

Halafu watanzania wanapenda vitu of having fun in our own catalogs, ninyi sadistic mnawaza purukushani na ugomvi muda wote ndio maana mna battles za kipimbi karibu na kila Taifa Africa, watanzania hatupo hivyo ni watu wa peace all the time πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
He is bragging about being bully!

Yet, the same group of cowards can't stand up and reclaim their lost territory from Ugandan army. So far, thousands have lost their meaningless lives to the ragtag militia (Al Shabab) that can't even afford decent shoes.

Very stupid beings.
 
Hawa jamaa lifestyle yao mitandaoni ni kama mbwa mwitu..solidarity ya kijinga isiyokuwa na malengo.
 
Sasa vile wewe si calm and deep...wewe ni Mrundi? 🀣🀣🀣
 
Sasa vile wewe si calm and deep...wewe ni Mrundi? 🀣🀣🀣
Watu tupo Celtics by nature lakini we won't allow to be jeopardized kizembe, huwa tukicharuka tunacharuka ya hela yote πŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
TOT wanajielewa sana,
Wana hashtag moja inaitwa nipedili, hii hashtag imesaidia sana wengi kupata kazi, madili mbalimbali pamoja na kuuza bidhaa zao,
Kingine kuna TOT bonanza huwa wajasiriamali wanakutana kuonyesha na kuuza bidhaa zao,
Kuna TOT medics hii huwa wanazungumzia kuhusu afya,
Bila kusahau Elimikawikiendi kwa ajili ya kujuza mambo mbalimbali,
Na mambo mengine mengi,
Achana na hawa wajinga wasiojielewa.
 
Watanzania akili mingi

Huko Instagram kuna pages zinapiga pesa kichizi nikiamua nizilete hapa servers zitashtuka, wakenya wao wanajivunia kubully watu, yaani watu tunatofautiana mtazamo kichizi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Watanzania akili mingi

Huko Instagram kuna pages zinapiga pesa kichizi nikiamua nizilete hapa servers zitashtuka, wakenya wao wanajivunia kubully watu, yaani watu tunatofautiana mtazamo kichizi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Wanajivunia kubully πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio maana nasema mkoloni aliondoka na akili zao.
 
He is bragging about free speech! Twat
Is Bullying same as Free Speech ?, maybe that's why you excel is such shameful actions because you don't know the difference or maybe you mistake the two...,

I am all for anyone to say whatever anyone feel like but to use force or attack and belittle..., that's something from hooligans playbook, and nothing to be proud about....
 
I don't think its that kind of conventional cyber bullying on individuals that is rampant in the West. This is a collective thing, for patriotic reasons. If y'all can't keep up with that then quit whining. Infact some of us inherited it from our grandparents. .....I born as a bedroom bully! [emoji1]
 
Now you are rewriting the article ?, is it patriotism, free speech, or should we just call a spade a spade.., even gang stars bully others in the name of collectiveness..., you don't have to use insults to get your points across, if you believe in your prowess in the given field you can just let your points do the talking... (just like civilised people) after all these are not the times whereby rule of the Jungle apply....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…