Kenyans react angrily over the SGR Second phase 2B

THIs is democracy guys. Watch and learn. Diverse opinions is healthy for our country. Good or bad we disagree and criticize openly. If it was Tz, all of you guys would be here shouting “Tanzania Hoyee” in unison & singing songs of praise to the emperor.

Am pretty sure a parliamentary committee or some other watch dog will ask for the full details of the finances & this details will be publicly known. Haifanywi kwa siri kama huko TZ.
 
pigania hali yako usiangalie usiyoyajua undani wake tz kwa yepi broo
 
Lazima kuna kitu hapo, hii ndio inaitwa senseless borrowing
 
so watu watano Facebook ndio nchi nzima....hahaha anyway, I also have my own personal issues with the SGR and the govt..nina uhuru wa kujieleza mitandaoni...pili, your title is misleading...tatu, Kenya watu wanakubaliwa kuipinga serikali na kutoa maoni yao...inaitwa democracy na freedom of speech...sio kule kwingine naskia mtu akimtaja tu rais ambaye ni mungu wao wa pili anawekwa ndani maramoja au ananyeshewa na risasi...yaani mpaka waimbaji wakubwa wakubwa, madiwani na wabunge aitha wamechinjwa kwa panga, kupigwa risasi au kukamatwa na polisi...humu unaweza hata ukamtusi rais na hamna atakayeshugulika nawe..hii ndio unaona wakenya wakifanya hapo....lanes my friends
 
thats exactly what I thought....kule wanamwabudu kama mungu..yaani tumwite tu emperor...hamna anayeweza kuthubutu kuiingilia serikali mitandaoni au kokote kule...wamekamatwa pabaya maskini wa mungu...
 
Kenyan Catholic priest who publicly denounced the killing of opposition demonstrators by Kenyatta's government found dead
Hivi hii ilitokea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu juzi wako vimbelembele kuchochea maandamano Uganda. Hawa watu ni wanafiki sijapata kuona!
Ngoja tu, leo Nairobi kutakuwa na maandamano dhidi ya huyo dikteta at the Uganda Embassy. Wewe ngoja tu, utajua tuko serious, hakuna mchezo hapa
 
Ngoja tu, leo Nairobi kutakuwa na maandamano dhidi ya huyo dikteta at the Uganda Embassy. Wewe ngoja tu, utajua tuko serious, hakuna mchezo hapa
Maisha na thamani ya raia wa Uganda ni bora na muhimu zaidi kwa wakenya kuliko raia wa Kenya?. Kenya is a confused country.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…