Sijui hata unachomaanisha.
Wewe umekula chumvi, sidhani kama unaeza elewa mambo ya vijanaSijui hata unachomaanisha.
Yaani otile ndo msanii anae-trend huko Kenya???
Khaaa kweli Kenya mziki bado aisee..
Sio kuipindua wcb hao hata wakikaza hawawezi mpindua hata belle 9 bongo sema wakazane tu BT CIO kwa kumpindua mtz yeyote ....kwa nyakati hizi wakenya kimziki watabaki kujifunza tz sio kucompete never hawawezOtile anapendwa tu kwa sababu ana swag za kibongo, anaimba kwa Kiswahili ila kipaji zero, angekuwa bongo bado angekuwa underground. Nyashinski na Sauti Sol wanajua, wakikaza zaidi ndio wana uwezo wa kuipindua WCB team.
Otile BrownWho is Otile brown
Tz wanajifunza kingereza na ninaona siku za usoni watakuwa wakiimba kwa kingereza maana wakiendelea na bongo flava zao watakosa fans hapa Kenya. Kuna baadhi ya watoto hapa Kenya hawaelewi swahili sasa sioni wakiskiza ngoma za Tz in the near future.Otile Brown
Pumba tupuTz wanajifunza kingereza na ninaona siku za usoni watakuwa wakiimba kwa kingereza maana wakiendelea na bongo flava zao watakosa fans hapa Kenya. Kuna baadhi ya watoto hapa Kenya hawaelewi swahili sasa sioni wakiskiza ngoma za Tz in the near future.
Pumba tupu
Slavery at its bestTz wanajifunza kingereza na ninaona siku za usoni watakuwa wakiimba kwa kingereza maana wakiendelea na bongo flava zao watakosa fans hapa Kenya. Kuna baadhi ya watoto hapa Kenya hawaelewi swahili sasa sioni wakiskiza ngoma za Tz in the near future.
Huyo otile anaimba kwa lugha gani na swaga za wapi na huko ndo ana trend......Buses and matatus mainly play reggae music. The upcoming generation majority know hip hop and Rnb from the likes of edsheeran so there is a probability that in 20 years to come bongo flavours will be extinct in Kenya.jina la diamond limeanza kufifia hapa kenya harmonize the proud guy and the likes of ryvanny ndio wanashabikiwa sana
Kaazi kweli huko hata yule akothee huaga ana trend............Top 10 Trending Now only 2 from TZ.View attachment 876900View attachment 876903View attachment 876902Otile Brown is the Most Popular in Kenya..Na ndio ameenza..He has a GOOD FUTURE.
Yeah. Tz striving to learn English is slavery indeedSlavery at its best