Kenyans Starting To celebrate Their Music

Pole sana, mimi nimetoa views zangu na sijaja kubishana hapa...

The fact is hao waimbaji wenu kama size 8, kambua, janeth otieno, bahati and the likes wala hawana coverage kubwa sana.. nimemuongelea Mercy maana ndio mkubwa japo naupenda wimbo wa alice kimanzi -holly spirit cover song lakini si sababu tosha ya kumuweka juu...

Ukija katika secular music ndo kabisaa game imeshuka.. ukitoa Nyashiski, sauti sol na labda khaligraph ..waliobaki wanajaribu

Mna waimbaji wazuri tu kama sanaipei lakini sijui wanakwama wapi


Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
hii post wakenya wakiona watajificha
 
Nani hajui kwamba mlimroga mwenzio. Ushirikina ndio mnajua sana. Hilo hatuwezi washinda. Hata sisi hatungemjua angel bila Mercy



 
hakuna nilichoacha mwema una view 5.1 M
ulianza huyu YESU ndo ukamtambukisha TZ
HATA MERCY ALISEMA WAZI ANGEL NDO ALIMTAMBULISHA&KUMTOA
SASA WEWE BISHA
Acha kubisha. Enda YouTube search engine type mwema by mercy masika.
Nataka ulete wewe mwenyewe sababu nikileta mtabisha bado.
 
Sio eti wanakwama. It is lack of support from Kenyans.
Mimi ni teamgospel. Secular najua mpo mbele.bongo flavas zinapendwa sana Kenya.
But believe me when it comes to gospel hatupendelei upande mmoja kama wenzako wanavyosema. Wnadhania gospel tunaskiza za tz pekee. We love gospel songs kutoka nchi mbalimbali.
 
Otile anapendwa tu kwa sababu ana swag za kibongo, anaimba kwa Kiswahili ila kipaji zero, angekuwa bongo bado angekuwa underground. Nyashinski na Sauti Sol wanajua, wakikaza zaidi ndio wana uwezo wa kuipindua WCB team.
kwa hapa bongo otile level yake labda homorapa.
 
Hivi ikitangazwa kwamba wazungumzaji wazuri wa Kiingereza watoke mbele, hivi nyie Wakenya mtatoka?
wamebaki kujivunia kuzungumza kingereza ilhali wachina waliowajengea SGR wamechukua ajira zote muhimu kwenye mradi wao wa madaraka express na huku wachina hao hata kuunda sentensi mbili tu za kingereza hawajui.

wakenya wamebaki kulalamika kule twitter bila impact yoyote....hapo ndio huwa nawadharau wakenya. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…