pia nyimbo zinazotrend kwao kwa uku bongo zimeshachuja5 out 10 trending artists in Kenya are Tanzanians, of those 10 two are Americans. Only 3 kenyans in top ten Kenyan chart. Acha kelele zisizo na msingi.
what future wewe? If you were such good English singers why not trending in Nigeria ambako they speak English fluently? It's irritating listening to Kenyan music be it in English or Swahili. I bet you guys don't understand your musicians like we don't understand them. They might even not understand what they sing themselves.Am talking about the future not the present
It's sheng .personally, I love gospel from the likes of mercy masikawhat future wewe? If you were such good English singers why not trending in Nigeria ambako they speak English fluently? It's irritating listening to Kenyan music be it in English or Swahili. I bet you guys don't understand your musicians like we don't understand them. They might even not understand what they sing themselves.
Umeskia ile ya...what future wewe? If you were such good English singers why not trending in Nigeria ambako they speak English fluently? It's irritating listening to Kenyan music be it in English or Swahili. I bet you guys don't understand your musicians like we don't understand them. They might even not understand what they sing themselves.
Bongo music is overated anyway.......ukitoa Wasafi na Kiba ambaye anatoa wimbo moja kwa mwaka kuna nani mwengine huko wa maana?Music wa kenya ni sauti sol period jamaa kila ngoma yao ni [emoji111] ,Nyashinski, sanaa,Hao wengine hawajakua serious nadhan bila kumsahau caligraph, niliwah muelewa sana Jamaa aliemba nasinzia nikikuwaza Ile nyimbo ni hatari imagine nyimbo ya mwaka 2006 hadi Leo ni kali
Chidi benzBongo music is overated anyway.......ukitoa Wasafi na Kiba ambaye anatoa wimbo moja kwa mwaka kuna nani mwengine huko wa maana?
Tz wanajifunza kingereza na ninaona siku za usoni watakuwa wakiimba kwa kingereza maana wakiendelea na bongo flava zao watakosa fans hapa Kenya. Kuna baadhi ya watoto hapa Kenya hawaelewi swahili sasa sioni wakiskiza ngoma za Tz in the near future.
Huyo ndio nani? Ameimba wimbo gani?Chidi benz
Who are those? Papa wemba nimewahi msikia ila sijui nyimbo zake na huyo mwingine simjui hata. Secular artists najua wakenya wabongo na wanaija. Ghana sarkodie. Kiufupi mimi napenda mziki wa injili japo napenda nyimbo zingine za kidunia.mbona lingala na bolingo zinabamba mbaya wakati hatuelewi kinachoimbwa.
wee humpendi JiBe Mpiana, Papa Wemba?
Huyu kaimba kila kitu hadi mapambio ya mbinguniHuyo ndio nani? Ameimba wimbo gani?
He's not very big then. I could mention several Kenyans bigger than himHuyu kaimba kila kitu hadi mapambio ya mbinguni
In KenyaHe's not very big then. I could mention several Kenyans bigger than him
Kwa hiyo kwa mtazamo wako kadri siku zinavyo enda Kiswahili speakers wanapungua!! Rudia research yako upya! Msanii wa bongo atakaye imba kwa kizungu tu hamtaweza kumsikia kwa sababu mziki wake hautapata air time Bongo (charity begins at home). FYI wasanii wanaimba kiswahili kwa ajili ya fanbase yao ya Tz, siyo ili Kenya waelewe. Soko la Kenya ni bonus tu, ila lina umuhimu sana.Tz wanajifunza kingereza na ninaona siku za usoni watakuwa wakiimba kwa kingereza maana wakiendelea na bongo flava zao watakosa fans hapa Kenya. Kuna baadhi ya watoto hapa Kenya hawaelewi swahili sasa sioni wakiskiza ngoma za Tz in the near future.
Ukiambia mtu kama rayvanny or let's say any wasafi member to come and insult kenyans or disrepect them openly hawezi maana hawa watu wanaelewa kile wapatacho hapa Kenya ikilinganishwa na tz. Wasafi is a household name in Kenya. Hata wakija hapa wanasifu wasichana wa Kenya of which tunajua wanazingua .Msanii mmoja kasema eti mademu wa Kenya wanakaa waarabu na sisi tunajua vizuri sana vile mnavyosema kutuhusu. Kiufupi nataka kukujulisha kwamba wasanii wenu ni wanyenyekevu sana wakija Kenya.Kwa hiyo kwa mtazamo wako kadri siku zinavyo enda Kiswahili speakers wanapungua!! Rudia research yako upya! Msanii wa bongo atakaye imba kwa kizungu tu hamtaweza kumsikia kwa sababu mziki wake hautapata air time Bongo (charity begins at home). FYI wasanii wanaimba kiswahili kwa ajili ya fanbase yao ya Tz, siyo ili Kenya waelewe. Soko la Kenya ni bonus tu, ila lina umuhimu sana.
benpolBongo music is overated anyway.......ukitoa Wasafi na Kiba ambaye anatoa wimbo moja kwa mwaka kuna nani mwengine huko wa maana?
nikitaja list ya wasanii ishirini bora kati ya tz na kenya wasanii wakenya wataingia wawili au watatu hawatozidi wanne unabishaHe's not very big then. I could mention several Kenyans bigger than him
Those are small names. I said bongo is overrated. I can name several Kenyan musicians better or on the same level as those.benpol
jux
vanesa mdee
nandy
navykenzo
weusi
.....
list ni ndefu aisee na wote wapo ontrend so bongo si wasafi tuu kama unavyokalili
Only because you'll be biased against Kenya. The only artist in Tz who's much better than Kenyan artists is Diamond - Ali Kiba used to be up there but his culture of producing a single song every year has made him just like any other musician. The rest have somebody equal or better - if we start listing musicians I'm sure Tz would never dominate Kenya.nikitaja list ya wasanii ishirini bora kati ya tz na kenya wasanii wakenya wataingia wawili au watatu hawatozidi wanne unabisha
They are smart hawewezi kuongea upuuzi juu ya Kenya na Wa Tz tumekuzwa hivyo ni waungwana, ndiyo maana sisi maneno kama samahani, naomba tuna yatumia kuliko wakenya, hili linajulikana kama hujui waulize wenzako walio fika Tz. Haya ya humu ni masikhara tu. Sijakataa soko la Kenya ni muhimu ila mpaka sasa hamna msanii kutoka Tz ambae amekubalika Kenya kabla hajakubalika Bongo. Kama unahisi Ke ndiyo inawapa pesa kuliko Tz ni kujidanganya. Kwa mwaka Rayvany anapiga show ngapi Ke? Bidhaa ngapi za Ke zina mtumia kama balozi? Ukipata jibu angalia pia kwa Tz.Ukiambia mtu kama rayvanny or let's say any wasafi member to come and insult kenyans or disrepect them openly hawezi maana hawa watu wanaelewa kile wapatacho hapa Kenya ikilinganishwa na tz. Wasafi is a household name in Kenya. Hata wakija hapa wanasifu wasichana wa Kenya of which tunajua wanazingua .Msanii mmoja kasema eti mademu wa Kenya wanakaa waarabu na sisi tunajua vizuri sana vile mnavyosema kutuhusu. Kiufupi nataka kukujulisha kwamba wasanii wenu ni wanyenyekevu sana wakija Kenya.
No one would like to bite the hands that feed them.