You dont get the pointIf speaking English is slavery then using anything that comes from the white man is also slavery. The jacket you are wearing now was made in China so you are a China 's slave. Furthermore there are a lot of kids in tz who speaks in English so they are also slaves according to your empty head
Vanesa mdee, hakuna msanii wa kenya anafikia levels zake.Only because you'll be biased against Kenya. The only artist in Tz who's much better than Kenyan artists is Diamond - Ali Kiba used to be up there but his culture of producing a single song every year has made him just like any other musician. The rest have somebody equal or better - if we start listing musicians I'm sure Tz would never dominate Kenya.
Ninachomaanisha ni kwamba show za kenya wanalipwa vizuri kuliko za Tz.They are smart hawewezi kuongea upuuzi juu ya Kenya na Wa Tz tumekuzwa hivyo ni waungwana, ndiyo maana sisi maneno kama samahani, naomba tuna yatumia kuliko wakenya, hili linajulikana kama hujui waulize wenzako walio fika Tz. Haya ya humu ni masikhara tu. Sijakataa soko la Kenya ni muhimu ila mpaka sasa hamna msanii kutoka Tz ambae amekubalika Kenya kabla hajakubalika Bongo. Kama unahisi Ke ndiyo inawapa pesa kuliko Tz ni kujidanganya. Kwa mwaka Rayvany anapiga show ngapi Ke? Bidhaa ngapi za Ke zina mtumia kama balozi? Ukipata jibu angalia pia kwa Tz.
Which point?You dont get the point
Who are those? Papa wemba nimewahi msikia ila sijui nyimbo zake na huyo mwingine simjui hata. Secular artists najua wakenya wabongo na wanaija. Ghana sarkodie. Kiufupi mimi napenda mziki wa injili japo napenda nyimbo zingine za kidunia.
Can Venesa compare to STL?Vanesa mdee, hakuna msanii wa kenya anafikia levels zake.
Kenya hakuna rapa kama darasa, roma, joh makini etc
Simply because I am choosy when it comes to secular music. I choose the songs I want to watch or listen.Ahaaa haaa haaa
everyone is wondering how juvenile you are. yaani JiBe Mpiana na Papa Wemba huwafanu?
Ooh sorry for intruding the kids corner.
le me go where I belong asap.
Wako wengi tu,Ben paul, Vanessa mdee,Barnaba,Joh makini,FidQ,Jux, Nandy, Ruby nkBongo music is overated anyway.......ukitoa Wasafi na Kiba ambaye anatoa wimbo moja kwa mwaka kuna nani mwengine huko wa maana?
Hao hamna tofauti na Wakenya, hata Wakenya wengi wamewazidi. Kwa mfano, FidQ anaweza mfikia Khaligraph? Venessa Mdee anamweza STL? Hao wengine hata siwatambui, labda huyo Nancy ambaye huku Kenya nitampa Avril. Huyo Ben Pol nimpe NaiboiWako wengi tu,Ben paul, Vanessa mdee,Barnaba,Joh makini,FidQ,Jux, Nandy, Ruby nk
STL ni mdudu gani??Can Venesa compare to STL?
Kumbe unawajua😂😂😂😂😂😂 Engineer fakeHao hamna tofauti na Wakenya, hata Wakenya wengi wamewazidi. Kwa mfano, FidQ anaweza mfikia Khaligraph? Venessa Mdee anamweza STL? Hao wengine hata siwatambui, labda huyo Nancy ambaye huku Kenya nitampa Avril. Huyo Ben Pol nimpe Naiboi
Caligraph Bongo hajulikani at all tunamjua sisi tunaofuatilia hip-hop sasa anarap nn vina vya kuungaunga kingereza kingi tu,FidQ ni rapper mkongwe ana legacy yake bana huwez sema caligraph ni mtu wa kusumbua fidQHao hamna tofauti na Wakenya, hata Wakenya wengi wamewazidi. Kwa mfano, FidQ anaweza mfikia Khaligraph? Venessa Mdee anamweza STL? Hao wengine hata siwatambui, labda huyo Nancy ambaye huku Kenya nitampa Avril. Huyo Ben Pol nimpe Naiboi
Vile vile FidQ hajulikani Kenya vile. Watu walio deep into hip hop ndio wanaomjua ila ukija the whole of Africa FidQ hawezi fika hata 20% ya Khaligraph kwa fanbase. Mark you, tunaongelea umaarufu wa sasa hivi, sio ukongwe. Maanake tukiingia kwenye ukongwe wana hip hop wakubwa East Africa ni akina Kalamashaka ambao beats zao zilitumika kwa Movie za Hollywood enzi zile na Akina Ukoo Flani, Mau Mau, Bamboo, Chiwawa, Abbass na kadhalika.Caligraph Bongo hajulikani at all tunamjua sisi tunaofuatilia hip-hop sasa anarap nn vina vya kuungaunga kingereza kingi tu,FidQ ni rapper mkongwe ana legacy yake bana huwez sema caligraph ni mtu wa kusumbua fidQ
STL ndio naniHao hamna tofauti na Wakenya, hata Wakenya wengi wamewazidi. Kwa mfano, FidQ anaweza mfikia Khaligraph? Venessa Mdee anamweza STL? Hao wengine hata siwatambui, labda huyo Nancy ambaye huku Kenya nitampa Avril. Huyo Ben Pol nimpe Naiboi
Hahaha, hivi humjui STL? Anajulikana hadi marekani. Nyimbo zake zimetumika hadi kwenye movie za Hollywood. Nenda YouTube na usearch Lookie lookie usikie. Alafu kama umewatch advert ya Samsung S9, wimbo wake umetumika.STL ndio nani
Ntafuatilia iyoHahaha, hivi humjui STL? Anajulikana hadi marekani. Nyimbo zake zimetumika hadi kwenye movie za Hollywood. Nenda YouTube na usearch Lookie lookie usikie. Alafu kama umewatch advert ya Samsung S9, wimbo wake umetumika.
Poa poaVile vile FidQ hajulikani Kenya vile. Watu walio deep into hip hop ndio wanaomjua ila ukija the whole of Africa FidQ hawezi fika hata 20% ya Khaligraph kwa fanbase. Mark you, tunaongelea umaarufu wa sasa hivi, sio ukongwe. Maanake tukiingia kwenye ukongwe wana hip hop wakubwa East Africa ni akina Kalamashaka ambao beats zao zilitumika kwa Movie za Hollywood enzi zile na Akina Ukoo Flank, Mau Mau, Bamboo, Chiwawa, Abbass na kadhalika.
Mtu mwenyewe unaemuongelea kumbe videos zake kufikisha hata 1m views taabu, huyo ana connections tu ila kwenye ulimwengu wa mziki kapuku saana,Hahaha, hivi humjui STL? Anajulikana hadi marekani. Nyimbo zake zimetumika hadi kwenye movie za Hollywood. Nenda YouTube na usearch Lookie lookie usikie. Alafu kama umewatch advert ya Samsung S9, wimbo wake umetumika.
Maua Sama anamzidi pia😂😂🤣Mtu mwenyewe unaemuongelea kumbe videos zake kufikisha hata 1m views taabu, huyo ana connections tu ila kwenye ulimwengu wa mziki kapuku saana, View attachment 882381View attachment 882382akija kwa bongo nae atakua underground tu