i saw this thread at Misterseed
See how innovative they can be
MISTERSEED.COM...............MESSAGE BOARD: kenyans making something online
if us Tanzanian's could follow suit on how Kenyan's are aggressive...nafikiri tutaenda mbali
Of all the members I never thought of kayundi2 being a Tanzania!
By the way, innovation is not "copy and paste"!
Baba Enock....Nakuelewa....MIMI MTANZANIA BABU.....Lakini wakenya hawa mimi nawaelewa.Nimekaa nao sana
Mwenzangu....leo hi natibitisha kuwa mimi Mtanzania Halisi Kutoka Morogoro.Kamwe mimi sio mkenya ingawa nimekaa Kenya kwa muda mwingi sana
i saw this thread at Misterseed
See how innovative they can be
MISTERSEED.COM...............MESSAGE BOARD: kenyans making something online
if us Tanzanian's could follow suit on how Kenyan's are aggressive...nafikiri tutaenda mbali
Mwenzangu....leo hi natibitisha kuwa mimi Mtanzania Halisi Kutoka Morogoro.Kamwe mimi sio mkenya ingawa nimekaa Kenya kwa muda mwingi sana
.Kayundi2,
don't unmask yourself over here bila mpango.Tangu lini wabongo wakaenda 'misterseed' kuangalia that tribalistic website?Kisha Kiswahili chako kinaleta mushkil mathalani hebu tazama makosa ya tahajia ul'onayo mwenzangu....Mbongo ni mbongo na utamjua tu.Si lazima asema kauli kama hizi za "mimi sio mkenya...."
P.S...Kwani wamekufukuza?
Tuko pamoja.
.
How did you get to know it existed si you had to look? and the last time i checked you were a Tanzanian.
Kwani Bw. Kayundi hafai kuwa MTZ?. Tanzania yenyewe ni taifa la kubuni acheni kuwabagua watu.
Hawa jamaa hamna aliyewafukuza licha ya 'nature' ya posts zao ambazo in most cases zinamrengo wa kutaka kuipamba nchi yao, na kuitweza nchi yetu tukufu ya Tz, kuwa si chochote si lolote.
Hata hivyo timeshawazoea, wakikua wataacha.