tatzo wakenya wanajitekenya na kucheka wenyew, tangia lini mlima kilimanjaro kuwa Kenya, may be mlima al-shababuuuI think there is a need you guys to get to understand how you degrade yourselves before the truth by always claiming this nonsense.
Let you try understand the reality coz you can't change the truth that is clear to smart minds
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hehe,acha tu jombaa.Usilete mzaha wewe huo mlima alshababu tunaukwea kwa uchungu bana.tatzo wakenya wanajitekenya na kucheka wenyew, tangia lini mlima kilimanjaro kuwa Kenya, may be mlima al-shababuuu
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Umeandika nini wewe mswahili, hata hueleweki, mkiambiwa nyinyi watu duni kabisa hamsikii...kaombe urudishiwe ada yako ya st kayumba!..I think there is a need you guys to get to understand how you degrade yourselves before the truth by always claiming this nonsense.
Let you try understand the reality coz you can't change the truth that is clear to smart minds
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Sasa "ghani" ndio nini au unataka kughani mashairi RIP SwahiliUngeandika tu kwa lugha ya kiswahili tungekuelewa pia...hii ni lugha ghani sasa
Tanzania tuna National Park nyingi mpaka kero 38% ya Tanzania ni National Parks, 4 wonders of the world zipo Tanzania so unaweza dhani tumeupotezea kumbe sababu tuna vingi huwezi kusikia kimoja tu all day long .Huo mlima ulikua wetu lazima tule na nyie kwenye sahani moja, nyie wazembe mumeshindwa kuutangaza, kwenye madini mnaliwa sana mfuate huko kwanza kabla ya kuja kulialia kuhusu mlima. Mzungu katunyang'anya na kuwapa.
Ona hapa wanavyopata raha kuutazama wakiwa Kenya...
Mbona siuoni?Huo mlima ulikua wetu lazima tule na nyie kwenye sahani moja, nyie wazembe mumeshindwa kuutangaza, kwenye madini mnaliwa sana mfuate huko kwanza kabla ya kuja kulialia kuhusu mlima. Mzungu katunyang'anya na kuwapa.
Ona hapa wanavyopata raha kuutazama wakiwa Kenya...
Hapo kwenye red, kama mlivyopigwa kwenye std gauge!Huo mlima ulikua wetu lazima tule na nyie kwenye sahani moja, nyie wazembe mumeshindwa kuutangaza, kwenye madini mnaliwa sana mfuate huko kwanza kabla ya kuja kulialia kuhusu mlima. Mzungu katunyang'anya na kuwapa.
Ona hapa wanavyopata raha kuutazama wakiwa Kenya...
Mikenya ndivyo ilivyo, ninaamini wale Alshabab wangekua wanaitwanga TZ wangekua wanarusha matangazo kwamba TZ siyo salama kwendaTanzania tuna National Park nyingi mpaka kero 38% ya Tanzania ni National Parks, 4 wonders of the world zipo Tanzania so unaweza dhani tumeupotezea kumbe sababu tuna vingi huwezi kusikia kimoja tu all day long .
Alikuwa anataka kuandika "ngani" akimaanisha "gani"Sasa "ghani" ndio nini au unataka kughani mashairi RIP Swahili
We mpuuzi tu unajaribu kukuataa ukweli na maisha yenu ya kuigiza yamefika tamati. Argue don't provoke you poor mindedUmeandika nini wewe mswahili, hata hueleweki, mkiambiwa nyinyi watu duni kabisa hamsikii...kaombe urudishiwe ada yako ya st kayumba!..
Dawa yenu ni kujenga Ukuta kama wa Trump tu wageni wakija kwenu wasiuone...Huo mlima ulikua wetu lazima tule na nyie kwenye sahani moja, nyie wazembe mumeshindwa kuutangaza, kwenye madini mnaliwa sana mfuate huko kwanza kabla ya kuja kulialia kuhusu mlima. Mzungu katunyang'anya na kuwapa.
Ona hapa wanavyopata raha kuutazama wakiwa Kenya...
kekDawa yenu ni kujenga Ukuta kama wa Trump tu wageni wakija kwenu wasiuone...
Uharo tuuu, pelekesha hukoo uswazii..We mpuuzi tu unajaribu kukuataa ukweli na maisha yenu ya kuigiza yamefika tamati. Argue don't provoke you poor minded
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ukichambua ramani ya Kenya kwa makini ukianzia kijiji cha Vanga utagundua kuwa mpaka ni mstari straight hadi lifike maeneo ya Taveta ambapo ghafla bin hu linageuza na kuenda kinyume zaidi ya mara moja. Kisha baada ya kilometa isiyo zaidi ya 50 hivi linarejea mkondo.Huo mlima ulikua wetu lazima tule na nyie kwenye sahani moja, nyie wazembe mumeshindwa kuutangaza, kwenye madini mnaliwa sana mfuate huko kwanza kabla ya kuja kulialia kuhusu mlima. Mzungu katunyang'anya na kuwapa.
Ona hapa wanavyopata raha kuutazama wakiwa Kenya... Nakaribisha povu...