Kenyan human capital/resource is unmatched in africa..you will not find it anywhere in africa..only zimbabwe used to be at per but their but economic down turn has taken toll on their perfomance..kenya human resource is a well oiled machine that is always turbo charging our economic engine...its whats gives kenya so much omph despite lack of natural resources....Nairobi is now the de facto capital of multi-nationals companies in Africa.
Jus sharraap! You'll be deemed intelligent.Magaidi ya Kikuyu yanaingia Tanzania kuua albino.
Na yakishaua yanakimbilia Kenya kwao ndiyo maana hayakamatwi.
Your days are numbered!
Correct, hawa watu ni majuha kweli, just because they don't understand something they start talking shit. Global dynamics are always shifting and only those ready to adopt will survive.
Boss unaendelea kujiabisha. Kiingereza ndio hukielewi au? Isipokuwa unemployment ambayo e-writing inatatua moja kwa moja, hakuna kitu chochote kingine negative wameongea kuhusu. Wamesema working from home is coveted, they are good in english and cheap overheads(sio cheap labour, hizo sio kazi za viwanda.) Cheap overheads inamaanisha costs kama cheap internet access na umeme na gharama za communication(kuwasiliana) yaani hawapati gharama za ziada kwasababu hawafanyiwi kazi mbovu.Ahaaa haaa haaa
Wanasifika kwa kuwa cheap labourers.
Boss unaendelea kujiabisha. Kiingereza ndio hukielewi au? Isipokuwa unemployment ambayo e-writing inatatua moja kwa moja hakuna kitu chochote kingine negative wameongea kuhusu. Wamesema working from home is coveted, good english na cheap overheads(sio cheap labour, hii kazi sio ya viwanda.) Cheap overheads inamaanisha costs kama cheap internet access na umeme na gharama za communication(kuwasiliana) yaani hawapati hasara za ziada kwasababu ya kazi mbovu.
Boss, isome kwa mara ya pili. Yaani wamekiri live kwa kuita Kenya hotbed of e-writing. Hii nchi moja ndogo ya Kenya kati ya nchi zote hizi duniani. Sitasema Afrika kwasababu e-writing ni kupitia mitandaoni, yaani mtu yeyote yule duniani mwenye access ya internet anaweza. Hapa ndio huwa nawapendea wakenya wenzangu, ni mwendo wa unyang'au kuenda mbele! Hahaha! 😀Wakenya ni wapuuzi na wanapenda sifa za kijinga
Sasa ni wapi katika hiyo link daily mail wanasema thesis zinaandikwa na wakenya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna mitazamo tofauti jombaa. Wewe kama kawaida umechagua kuangalia yale mabaya, ambayo hapa ni madogo mno. Udanganyifu wa watu wachache tu, tena sio wakenya kwasababu wao wanalipwa kuandika tu. Mimi nami naangalia the broader picture, uwezo wa hao wakenya kwenye nyaja hiyo ya e-writing, na kwamba ujuzi wao ndio umefanya wakawa singled out. Kwahivyo hata tukibishana hadi kesho itakuwa ni kazi bure tu. Waeleze watz wenzako wachangamkie hizi fursa, zinafanywa mitandaoni, pesa halali free for all bila uchoyo.Ahaaa haaa haaa
Overheads = f{a, b, c, d, £}
Let's assume £ is an error term.
Hapo huwezi kwepa labourers.
After all, the issue here is not where someone working, the core issue here is someone to dissertation on behalf of another pd (student).
Hii ndio ile unaskianga foreign remittances ... Kumbe ni ma nigga wa thika road wanachangamka!!!Kumekuwa na jokes kwamba Uchumi wa ma-eneo ya Juja , Thika ,Roysambu ,Kahawa unaendeshwa kwa pakubwa na hawa online academic writers.
Wanafunzi wengi wa vyuo vikuu na mid-level colleges vilivyo Thika Rd wameingilia sana kazi hii. Najua mmoja ambaye ameifanya hadi akajenga a 5-floor flat.
https://www.dailymail.co.uk/news/ar...tes-paying-companies-write-dissertations.html
Acha majungu boss soma hiyo taarifa tena. Hao wanafunzi na hizo kampuni ndio wanahusika na huo udanganyifu. Wao ndio wanapangana ili kuwahadaa wanaosupervise hizo dissertations. Wakenya hawahusiki isipokuwa kuandika kulingana na kampuni hizo zinavotaka, na hela za kazi zao wanalipwa, basi.Ahaaa haaa haaa
You guys r so funny,
Have you ever attended the pd defence? Leave alone to defend it. You can do e- writing in articles of journals, but not the pd dissertations. Unless the opponents are also part of the (dirt) game.
Acha majungu boss soma hiyo taarifa tena. Hao wanafunzi na hizo kampuni ndio wanahusika na huo udanganyifu. Wao ndio wanapangana ili kuwahadaa wanaosupervise hizo dissertations. Wakenya hawahusiki isipokuwa kuandika kulingana na kampuni hizo zinavotaka, na hela za kazi zao wanalipwa, basi.
My bad, I forgot we were talking about Jamaicans.Ahaaa haaa haaa
Where did I mentioned about Kenya?
cheap labourors ??? online writers in Kenya earn more than TZ doctors
Very true, and who said that Africans shouldn't benefit from this changing dynamics? I tried my hand at e-writing when I was fresh from uni before the hustles of life started eating up my time. I know most Kenyans here have too. Building a portofolio and a name for yourself is the hard part when you are new to e-writing. Trust me though, that you never fail to make a substantial amount in dollars if you have time in your hands. Kuna watu humu huwa wanaandika insha refu sana wakati wanacomment kuhusu mada. Ila kwa kutokuwa na hamu ya kujiongeza huwa hawafukuzani na fursa kama hizi. Kazi ni kuwakashifu tu wenzao ambao angalau wamedhubutu na wakaweza.
It depends on the situation , some work is direct some is not..On this issue of online writing/ academic writing, a large group of young Kenyans has taken it very serious, experienced individual writers with good portfolios and ratings make as much as 5000 - 6000 - USD per month.Ahaaa haaa haaa
Understand that, Kenyans are not taking the work directly FROM the clients, but are just second hand.
It depends on the situation , some work is direct some is not..On this issue of online writing/ academic writing, a large group of young Kenyans has taken it very serious, experienced individual writers with good portfolios and ratings make as much as 5000 - 6000 - USD per month.
Hii si payuka payuka kaka, marafiki zangu wengi wana offices full of writers, kazi yao ni kufanya bidding.