Kenya's budget more than all EAC combined!!!

Watakuja kuuza nchi hawa na Madeni
 
Budget ya kenya ni kubwa kuliko ya Nigeria(Biggest GDP in africa), wala hilo si lakushangaza maana nusu yake huishia kwa mifuko ya kenyatta

Ahaaa haaa haaa
i didn't know that the kenya's window dressing budget is surpassing that of the Afrika's biggest GDP Nigeria.
 
Aaw Boy,and so to say Rwanda, Uganda and Burundi surpasses Danganyika. Hii Danganyika ngozi kubwa inatuaibisha tu
 
game over tujadilie budget Kwanza kabla tubishane just ya njaa Kenya na njaa Tz watu wakila kinyesi na utapia mlo. Wacha wivu bana $30b vs $14b huoni tuko double your economy upende usipende?
Nadhani hiyo budget imejumuisha na madeni mtakayoilipa china annually
 
Sishangai kwa budget kuwa double. Coz everything in Kenya is double the price. The SGR, the roads, everything is double priced to con an ordinary Kenyan...
 
Yani pamoja na kujumlisha bajeti ya Tz, Uganda na Rwanda Lakin bado hazija fikia bajeti ya Kenya!!! Asee hatari sana
Hata ukiongeza Burundi humo kama bakshishi, itakua bado, itabidi Sudan Kusini pia iongezwe humo.
 
game over tujadilie budget Kwanza kabla tubishane just ya njaa Kenya na njaa Tz watu wakila kinyesi na utapia mlo. Wacha wivu bana $30b vs $14b huoni tuko double your economy upende usipende?
Asa budget kubwa yote still mna wafa njaa miaka nenda miaka rudi?!
Budget kubwa yote still madaktar wagomaji?!
Kweli Kenya ina misuse public funds indeed!
Maana hyo budget mlitakiwa mupunguze njaa na muzuie madaktar kugoma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…