Kenya's CS Balala wins top Tourism Global Award

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809

HONOUR: Tourism CS Najib Balala with First Lady Margaret Kenyatta after he won the World Travel and Tourism Council Global Champion Award.
Image: MINISTRY OF TOURISM AND WILDLIFE

Tourism and Wildlife Cabinet Secretary Najib Balala has been awarded the World Travel and Tourism Council Global Champion Award.
The Global Summit award for 2019 was held at Seville in Spain on Wednesday.
Balala said that the award was a win for both his ministry and Kenya’s efforts to make the ministry sustainable.


"We aim to ensure they directly benefit local communities, who are the custodians and stewards of both our tourism and wildlife resources.”

The annual WTTC Global Champion Awards recognises public officials or countries that have made a difference through public policies and initiatives that have increased the competitiveness of the sector.
In 2018, the travel and tourism sector grew by 5.6 per cent, contributing Sh790 billion and 1.1 million jobs to the Kenyan economy. The growth rate is faster than the global average of 3.9 per cent and the Sub-Saharan Africa average of 3.3 per cent.
This makes Kenya the third largest tourism economy in Sub-Saharan Africa after South Africa and Nigeria, both of which grew substantially less than Kenya in 2018.
Last year, international tourists spent over Sh157 billion in Kenya, accounting for over 15 per cent of total exports. Kenya will receive more tourists via the Indian Ocean.

https://www.the-star.co.ke/business/kenya/2019-04-04-balala-wins-top-tourism-global-award/
 
Nyinyi mnapata pongezi sisi tunapata pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tungekua hata na robo ya vivutio mlivyo navyo tungeongoza Afrika kwa uchumi, kweli yaani hauwezi kubarikiwa na kila kitu, aidha ubarikiwe uwe na raslimali nyingi lakini kwenye ubongo uwe zero na mvivu wa kutupwa, au unyimwe raslimali lakini ubarikiwe kuwa na akili nyingi.
 
Tatizo la wakenya ni ujuaji 6 na ndio e
kinawaponza sasa nyie na Zanzibar ni kinanani wanavivutio vingi lakini bado kwa mapato Zanzibar humuwakuti.

Mnapenda misifa isiyo na maana sijui mituzo 6yna Misha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la wakenya ni ujuaji 6 na ndio e
kinawaponza sasa nyie na Zanzibar ni kinanani wanavivutio vingi lakini bado kwa mapato Zanzibar humuwakuti.

Mnapenda misifa isiyo na maana sijui mituzo 6yna Misha

Sent using Jamii Forums mobile app

Chenye unafanya saa hii hapa ni ujuaji. You know nothing about nothing yet you keep barking left right and centre. Go and tell that to birds
 
Hehehe ....please go slow on our Southern brothers
 
Tatizo la wakenya ni ujuaji 6 na ndio e
kinawaponza sasa nyie na Zanzibar ni kinanani wanavivutio vingi lakini bado kwa mapato Zanzibar humuwakuti.

Mnapenda misifa isiyo na maana sijui mituzo 6yna Misha

Sent using Jamii Forums mobile app

Huwa mnasema Zanzibar ni Tanzania, hivyo utalii wa kwao huuzwa kwa kuunganisha na vivutio vya bara kama vifurushi (packages).
Kwa kifupi tungekua na robo ya vivutio mlivyo navyo, sidhani kama kuna nchi ingekua mbele yetu kiuchumi. Mumepewa raslimali nyingi ila mkanyimwa akili.
 
Lakini mapato yao hayachanganywi na ya kwetu lakini si wamewazidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini mapato yao hayachanganywi na ya kwetu lakini si wamewazidi

Sent using Jamii Forums mobile app

Wacha kulewa konyagi asubuhi, tangu lini kisiwa cha Zanzibar kituzidi kwenye mapato ya utalii ikiwa hata liinchi lote la muungano wa Tanzania sio kwamba huwa mnatushinda sana kwa mapato ya utalii, pamoja na kwamba mna vivutio bora mara kumi zaidi yetu.
Tatizo lenu wazembe wa kutupwa kuleeeee.....
 
Almost mpo sawa Tu Zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mna vivutio vingi kuliko nchi nyingi tu na bado wamewashinda kiuchumi, nyinyi mnachekesha kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee! ni kweli walipewa kila kitu wakanyimwa akili😃.Ila swali ni nini kipo ndani ya vichwa vyao?
Mkikuyu- Akili timamu
 

Ahaa ha ha
Kwa hiyo kenya wana akili nyingi??
Teh teh.
 
nilikuwa nikiwaambia hapa...mara sijui balala kaja kujifunza tanzanis...ukimuona nyangau anajipendekeza kwako basi fikiria mara mbili...manake haezi kujipendekeza kwako bure bure...matokeo ndi hayo sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…