Kenya's Economy depends heavily on Tanzania &Kenya relationship

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
MY TAKE;
Huwa tukisema kwamba uchumi wa Kenya unategemea Sana Tanzania, wakenya wengi wanajisikia vibaya, huu ukweli umeamza kudhihirika miongoni mwa wanahabari wa Kenya na kukiri hadharani
Tony254
dyfre
@
 
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nyie ndio sasa mnatutegemea zaidi ukizingatia kwamba exports zenu to Kenya zimedouble in the last one year.
 
Alafu duniani kuna watu ni mazwazwa sanaa ww ukiwepo on top, yaan wana takwimj wamekwambia uchumi wenu umepaa kufika 7.5 kwa sababu mnafanya sana biashara na Tz ndan ya hii miezi michache ....

Tz ina export raw materials to Ken, mfano.mahindi, avocado, alizeti n.k ina boost uzalishaji wa bidhaa mfano unga wa ugali, mafuta n.k qmbapo kwenu ni advantage ambapo mnauza finished good ktk soko lenu la ndani na ku export ... Umeona hapo iyo relation ya ukuwaj wa 7.5
 
Wacha ujinga. Uchumi wa Kenya umekuwa kwa 7.5% kwa sababu ya lockdown kuondolewa. Hio ndio maana kuna sector ambayo inahusiana na tourism ambayo imekuwa kwa zaidi ya 50% ndani ya mwaka mmoja. Sector hio ilipata negative growth mwaka wa 2020 kwa sababu ya Corona ila mwaka uliopita sector hio ilifanya vizuri.
Anyway mwaka huu uchumi wa Kenya utakuwa kwa around 6% kwa sababu effect ya lockdown kuondolewa haipo mwaka huu. Japo trade kati ya TZ na KE itaongezeka mwaka huu, bado uchumi wa Kenya utagrow at a slower pace.
 
Nani aliyekuambia trade Kati ya Kenya na Tanzania itaongezeka mwaka huu?, huu ni mwaka wa uchaguzi Kenya, kawaida uchaguzi wenu unaendana na fujo, watanzania wanalijua Hilo, tayari wafanya biashara wengi wa Tanzania wameshaanza kusimamisha biashara zao na Kenya.

Back
Top Bottom