Kenya's first openly gay candidate ready for a fight!!!


Homosexuality, is it a Sin?
 
Umesahau HQ ya MOMBASA au wewe ni mdau unayehusika huko?

kwani wewe ni mdau wa wapi ?? hujui kwamba HQ ziko huku zamani na watu wanaoana kabisa kuliko huko Mombasa ??

Waiting List - gay Meetups - Kikuyu ukifungua hio link chini unaweza ukaona mashoga kwenye miji hii Other nearby cities:Nairobi, Thika, Kiambu, Ngong, Naivasha, Limuru, Machakos, Kajiado, Karuri, Murang'a, Kangundo, Kijabe, Othaya, Kangema, Sagana, Mavoko, Magadi, Maragua, Konza, Kandara, Makuyu, Ruiru
 
aisee jamaa yaani wanajiona wako na right mbaya..
 
yes it is a sin and if you are a christian show me where it is written in the bible that god created man and man and asked them to live as husband and wife?. God created man and wife and asked them to deliver children and add the number of people in the earth.
Thats what i understand .
 
unatarajia kupambana na usiyoyaelewa na kuelezea ukifikiri utashinda?

hivi wewe unafikiri humu kuna mashindano ya JF ??? kwanza nani kaandika biblia ???? tuambie hivyo unavyojua wewe au ulivyoambiwa na kanisa lako???
 
MWISHO WATAMCHAGUA RAISI WA KENYA, HOHOHOHOHOOO

By the way, hivi kule KDF pia wako hawa watu???au ndio mambo ya Obama, Dont ask dont tell

Naona wataka kutifuana na upepo isiyoonekana, una matumaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…