Kenya’s first satellite to be launched in space

Kenya’s first satellite to be launched in space

Freddie998

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2018
Posts
675
Reaction score
370
Kenya imepanga kurusha satelaiti yake ya kwanza angani, iliyotengenezwa na wazawa, Ijumaa wiki hii. Satelaiti hiyo imegharimu dola za marekani milioni 1(Ksh milioni 100).

kenya+pic.jpg


Satelaiti hiyo yenye urefu wa Sentimita 10 ilitengenezwa na watafiti na watafiti katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwa msaada wa Chuo Kikuu cha Sapienza cha Italia na wabobezi kutoka Wakala wa Uchunguzi wa Anga za Juu wa Japan.

Satelaiti hiyo itarushwa kutokea Japan na Waziri wa Elimu, Bi. Amina Mohamed atakuwepo kushuhudia tukio hilo. Itatumika kukusanya taarifa za mabadiliko na utabiri wa hali ya hewa, wanyamapori, ufuatiliaji wa ukanda wa bahari, usafirishaji na ugavi.

====

Nairobi. Kenya is on Friday set to launch its first locally made Ksh100 million (about $1m) satellite, officially marking the country’s venture into space science.

The 10cm cube satellite, dubbed Nano Satellite, was developed by researchers and students of University of Nairobi (UoN) with the help of Sapienza University (Italy) and experts from Japanese Aerospace Exploration Agency (JAXA).

It will be launched from Japan. Education Cabinet Secretary Amina Mohamed will lead a delegation to witness its deployment.

“The UoN Satellite will be used in collecting data on climate change, wildlife mapping, earth mapping, weather forecast, coastline monitoring, transport and logistics,” said UoN vice- chancellor Peter Mbithi.

In 2016, UoN became the first institution to benefit from a joint project between the United Nations and JAXA that seeks to support educational institutions from developing countries to manufacture own satellites.

The project dubbed KiboCUBE was launched in September 2015. Japan provided Ksh100 million ($1 million) funding and a platform for construction of the satellite.

The university now seeks to scale-up its space programme by churning out larger earth observation satellites. They hope to also upgrade technology by including high resolution cameras for precise data and surveillance.

“The successful deployment of 1KUNS-PF (Nano Satellite) heralds the next phase for UoN and Kenyan scientists and engineers to develop bigger higher resolution satellites with serious scientific and technological value for the country,” said Prof Mbithi.

Prof Mwangi Mbuthia of the UoN’s school of engineering called for partners’ support to help the university upgrade its satellite ventures.

“We seek for support as we go into space exploration and space science. It takes approximately $1 million to successfully launch one satellite into space,” said Mr Mbuthia.

Chanzo: Kenya’s first satellite to be launched in space
 
Japan satellite[emoji23][emoji23] mitambo yote hiyo cheap mnayoirusha inaenda kwenye chombo cha mjapani
 
Kenyan Satellite, huh! you gotta be kidding me?
 
Nano satellite aka Kibiriti satellite. Mleta mda tuambie itakaa lower orbit kwa muda gani?
 
Lord of hate and jealousy ndio huyo ndaaani. This is so fun.😀😀😀😀
 
Kama chakula na maji hamuwezi kujitosheleza, hiyo satelite ikirudi italeta gunia za chakula?, acheni vituko ninyi nyang'au.

North Korea raia wake wanakufa njaa lakini satellite, Nuclear, Rockets wanazo na wanazirusha, wenye kusema wana amani hata sindano au syringe wananunua kutoka ngambo - bure kabisa! Pamba wanazo lakini hakuna kiwanda cha nguo! Sometimes it is always better to choose our words carefully when blaming other neighboring countries like Kenya, the most industrially developed one in Eastern and Southern Africa excluding South Africa. South Korea or Singapore obtained her independence, let us put it 1961 just like Tanzania, alas see the difference in development!!
 
Angalau itatusaidi ku plan mazao yetu vizuri, ukulima utakua better coordinated.

Afadhali waonueshe live ili tuone vile ISS iko dominated na Wazungu wengi, hio itatufanya tuskie uchungu na kulazimisha serekali iwekeze Zaidi Kwa utafiti wa satelite.
Next ni kurusha satelite kubwa yenye infrared,thermal imaging...kutoka Malindi
 
North Korea raia wake wanakufa njaa lakini satellite, Nuclear, Rockets wanazo na wanazirusha, wenye kusema wana amani hata sindano au syringe wananunua kutoka ngambo - bure kabisa! Pamba wanazo lakini hakuna kiwanda cha nguo! Sometimes it is always better to choose our words carefully when blaming other neighboring countries like Kenya, the most industrially developed one in Eastern and Southern Africa excluding South Africa. South Korea or Singapore obtained her independence, let us put it 1961 just like Tanzania, alas see the difference in development!!
Wewe nawe hamnazo kabisa, sasa unaona anachokifanya North Korea ni sawa?, hata madawa hospitalini hawana lakini wamekazana na kutengeneza nuclear weapons, leo hii linganisha South Korea na North Korea kimaendeleo, ni sawa na mbingu na ardhi. Mtu yeyote mwenye busara hawezi kufikiria maendeleo yoyote kama hajajitosheleza katika "human basic needs", yaani 1)Chakula, 2)Maji, 3)Malazi, 4)Mavazi, 5)Afya na 6) Elimu. Acha kutetea ujinga wa wakenya, hata chakula wanategemea donations, eti wanashughulika na satelite hivi sasa, Kenya is a confused country.
 
Huku kwetu Bongolalaland hata mutungi ya changaa hatujui ilipo Baada ya kupokewa na Nchi nzima.
 
Kama chakula na maji hamuwezi kujitosheleza, hiyo satelite ikirudi italeta gunia za chakula?, acheni vituko ninyi nyang'au.
Satellite yenyewe itatumika kufanya utafiti wa kuboresha ukulima. Matapishi yako yameze tena kama mbwa koko.
 
Endeleeni kushangilia ndege kutua emergency sisi tukituma satellite space
 
Back
Top Bottom