Marehemu Shikuku alikataa kabisa msiba wake usitumike kufanya siasa. Cha ajabu, hawa watu hawafuati maelekezo yake na badala yake wanafanya siasa. Nikirudi kwenye mada, nafikiri hatuhitaji kuiga Wakenya wanavyoendesha misiba ya wanasiasa. Sisi tuendelee na ya kwetu. Mazishi ya Wakenya wanayafanya kuwa ya gharama kubwa sana.
Tiba