πππππ
Kwa mara ya kwanza jana nuliangalia citizen tv habari ilikua usiku naona mnabomoa viosk jijin nbo kutanua road..watu wanalia njaa as usually hela ni ngumu. ..Africa hii bado tuko nyuma sanaπππππ
Hapa ni kusema na kutenda...mji lazima utengenezwe to global standards.Kwa mara ya kwanza jana nuliangalia citizen tv habari ilikua usiku naona mnabomoa viosk jijin nbo kutanua road..watu wanalia njaa as usually hela ni ngumu. ..Africa hii bado tuko nyuma sana
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
acha ujinga wewe sasa utasomaje uchumi pasipo kujua hesabu??nyie wakenya mna matatizo gani??Mimi siku ya kwanza niliporipoti chuo kikuu, niliripoti kwenye school of Business, department of economics. Kuna marafiki zangu waliokuwa chini ya department of mathematics. Department of mathematics, kwa kawaida huwa kwa school nyingine tofauti, sio ya business. Natumai umenielewa
Suit yourself, Now go celebrate or do whatever Mjengo people do when happy.
Suit yourself, Now go celebrate or do whatever Mjengo people do when happy.
Go brush teeth
Go brush teeth
Eeeeh! Buda boss! Leo Nairobiwalker na Tony254 wamekupeleka campo free of charge. Wameamua kukutoa ujinga uliokolea hadi kwenye DNA yako.
Wewe amini unachotaka.acha ujinga wewe sasa utasomaje uchumi pasipo kujua hesabu??nyie wakenya mna matatizo gani??
NairobiWalker I've seen this from ktalk and its seems like as of april kenya have overtaken Ethiopia againView attachment 749396 View attachment 749397
LDC tunazidi kuchomoza kwenye top ten tumo yaani ni full kupigana vikumbo hukohuko hatutaki ujinga SAA hiiNairobiWalker I've seen this from ktalk and its seems like as of april kenya have overtaken Ethiopia againView attachment 749396 View attachment 749397
Naona Tanzania Mkitotoka Ldc in the next two years which is a good thing... ..LDC tunazidi kuchomoza kwenye top ten tumo yaani ni full kupigana vikumbo hukohuko hatutaki ujinga SAA hii
Bt ppp tuko nyuma ata ya tz though it doesn't count Much. ..Possibly, Ethiopia hasn't had a very good year.
wewe ndio ulikuwa unasema gdp Ya kenya haitafika bilioni 100 in two years.....angalia i latest data kutoka imf sasa ata naona next year ikiwa 100+Even Tz
Wapi Uganda? ?NairobiWalker I've seen this from ktalk and its seems like as of april kenya have overtaken Ethiopia againView attachment 749396 View attachment 749397
Waganda wako uko chini wanacheza na kina kina gabon na niger ukoπππππLakini uganda ni sleeping giant siku museveni atatolewa ug watripple gdp yao kwa miaka mitatuWapi Uganda? ?
Yule mzee nae michosho tuWaganda wako uko chini wanacheza na kina kina gabon na niger ukoπππππLakini uganda ni sleeping giant siku museveni atatolewa ug watripple gdp yao kwa miaka mitatu