Kenya's GDP hits $85 billion as Tz breaks the $50 billion mark.

Wakenya wanatia huruma sana.

Hebu msome mtaalam wa uchumi toka Kenya

 
Do you know what is a GDP Projection? Stick to your mjego business, shameless
 
GDP ppp
Tanzania $ 178bln
Kenya $175bln
 
So middle income per capital inakubalika ipi?
 
Machungu ya nini!? Kenya ikisonga mbele ni ubishi, Kenya ikipata matatizo ni kicheko na kejeli kutoka bongo!

Zambia,Malawi,Mozambique,DRC,UG,Burundi na Rwanda wote ni majirani wa Tz ilivyo Kenya. Lakini Kenya tangu jadi ndio kitombeo chenu mnapojihizi kumaliza joto! Kwa nini?
 
Leo watu hawalali...[HASHTAG]#geza[/HASHTAG]
 

With the $85bln u claim as GDP I don't see how can Kenya still be suffering of hunger? Or being broke to an extent of taking over $2.5 bln Euro bonds at interest rates over 8% immediately after election aside the fact GoK can't finance even the $30bln budget. Some of u people lack brain.
 
Calm down geza ...imf knows what they are saying..please take your grievances to them ...wapee feedback useme huamini kenya iko mbele ya TZ...anyway kenya 85 blilloin ....ethiopia 87 billion...bumper to bumper..hatuachani na Ethiopia ..hawa ndo ligi yetu
 
Wakenya wanatia huruma sana.

Hebu msome mtaalam wa uchumi toka Kenya

Sasa wewe ...ndii na IMF ..nani ndo more knowlegable ...nani ako na more data available ..nani hana political affiliation...ndii is just a government critic ..kwanza saa hii amenyamaza cos he knows he is in trouble([HASHTAG]#miguna[/HASHTAG])soo ..usilinganishe imf data na tweets za ujinga .
 
Projected to ...
Jifunze kusoma data.
 
And do you know why Ethiopians facing poor social development just like you Kenyans which majority can't afford simple meals.?

It's because your economy is not inclusive, Tanzania economy is inclusive to it's people the gap between the rich and poor its so minimal and access to the provisioned social services is the best compare to you that's why on GDP PPP we are leading and that's the real direct grassroot economy reflection
 
Data za kupika, thats why despite the 7Percent growth every year hamtoki kwa 50bn mark ila mwaka huu mmebahatika😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😛😛😛
 
Data za kupika, thats why despite the 7Percent growth every year hamtoki kwa 50bn mark ila mwaka huu mmebahatika😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😛😛😛
$55bln si haba
 
Wakenya wanatia huruma sana.

Hebu msome mtaalam wa uchumi toka Kenya

***** sasa tuskize mtalamu wa vijiweni tukose kusikiza lmf😀😀😀😀😀😀 kwani ujui kusoma ata ppp bado tuko mbele Yenu 175bn to 163bn iyo yenye unataka kuquote, gap ime ongezeka kutoka 1bilion in 2016 hadi 12bilion 2018,ambieni ccm waache kupika data ati uchumi wenyu unakua ilhali ni manenobtu.. .
 
***** ata usa bado wanakopa dispite them being the largest economy in the world.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…