Kenya's GDP hits $85 billion as Tz breaks the $50 billion mark.

Ila Bado Tz inauwezo wa kuipita Kenya kiuchumi na kuiacha kwa gap kubwa, manake kile tunashindia TZ tu ni Human resource otherwise vingine wako navyo kwa wingi. usisahau kenya wasomali miaka kumi ndio watakuwa wengi kabisa na kuna uwezekano miaka 20 toka sasa wakianza zile style zao za maisha kenya inaweza sambaratika
 
really nice... why did u quit GOK? just a question...
 
Wewe kwakuwa shule uliyosoma haikuwa na walimu wa kutosha usilete wivu humu. Soma pita kimia. Haiwezekani utuletee estimates za GDP za 2018 useme ni real GDP wakati hata kufikia nusu ya mwaka hatujafika. Pili GDP utolewa baada ya mwaka kuisha.
MY TAKE: You are a school dropout not to understand such a mistake.
 
Geza 2016...we said kenyas gdp was 70 billion ..wakakuja wote ati ni 63 billion sijui 55 ..sasa angalia ...tunapaa kupaa ...85 billion this year na hatucheki
 
Nani ana itaka Kenya pimbi wewe !!
 
is that why you are always so butt hurt?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Have you got employed or you are among the 47%??
 
is that why you are always so butt hurt?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
I have said it before and I will say it again, Its not within my kikuyu culture to stay "employed" Especially by government. We are businessmen. I retired, Took my savings and invested. So whats your problem?
 
You have hammered the guy๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Geza 2016...we said kenyas gdp was 70 billion ..wakakuja wote ati ni 63 billion sijui 55 ..sasa angalia ...tunapaa kupaa ...85 billion this year na hatucheki
Wewe sikia hiyo real GDP inaรฎshia 2016. Kuanzia 2017 ni estimates sio real GDP.
 
Wewe sikia hiyo real GDP inaรฎshia 2016. Kuanzia 2017 ni estimates sio real GDP.
Yes ..and in 2016 we told you our gdp was 70 bln...mkakuja na mipovu mkisema ni 55 na wengine ati 63 ...sasa za 2016 ni proven ...what makes 2018 any diffrent?
 
Yes ..and in 2016 we told you our gdp was 70 bln...mkakuja na mipovu mkisema ni 55 na wengine ati 63 ...sasa za 2016 ni proven ...what makes 2018 any diffrent?
A drowning mulisaaa clutching on straws.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ