Kenya's highest building opens for business

If that makes you get some sleep fine.Pray before you sleep so that you don't get anymore wet dreams of a midget like TPA being the tallest building anywhere near here...
Embu tuachane na hizi story hazina mana
 
Jengo lenyewe halina ubunifu wowote !!!!!!!!!! kweli karne ya leo unajenga jengo kama ' BOX' ?????
You realize almost all iconic buildings in Tanzania were designed by Kenyans do you? You understand TPA, PSPF and even your parliament building were all done by Kenyan architects do you?
 
Hiyo Britam yetu mbona mnaficha tower (top)shame, tofauti na render,imekula kwenu.
 
Kaeni hapo mbishane na TPA 157m

Wakati
Hass itakuwa 300m ikimalizwa

Britam itakuwa 200m ikimalizwa mwakani

Upperhill squard itakuwa 290m ikimalizwa
Kweli jirani mmeishiwa mwatuonesha vivuli vya picha.poleni
 
Aloo jrani CHUMA TEKETEKE la spire, na bado mnajiweka katika ligi,jamani tuacheni tupambane na South Africa
 
Aloo jrani CHUMA TEKETEKE la spire, na bado mnajiweka katika ligi,jamani tuacheni tupambane na South Africa
Tihahaha....Ati Africa kusini???Naelewa ulimaanisha nchi iliyo kusini mwenu.Nasema Msumbiji!'.....Jaribu kushindana na hiyo kwanza...
 
A
You realize almost all iconic buildings in Tanzania were designed by Kenyans do you? You understand TPA, PSPF and even your parliament building were all done by Kenyan architects do you?
Acha ulongo wewe!!!
Designers ni chuo kikuu Ardhi.
 
You realize almost all iconic buildings in Tanzania were designed by Kenyans do you? You understand TPA, PSPF and even your parliament building were all done by Kenyan architects do you?

Signs of brain malfunctioning.
 
You realize almost all iconic buildings in Tanzania were designed by Kenyans do you? You understand TPA, PSPF and even your parliament building were all done by Kenyan architects do you?
Hii ni misperception of reality inawezekana hizi dalili zikiendelea ndani ya mwezi mmoja tukatoa diagnosis apa
 
A

Acha ulongo wewe!!!
Designers ni chuo kikuu Ardhi.
TPA Building was done by K&M Archplans in Kenya. They are based along Lenana road and I have a friend there who was part of the team. K&M Archplans also did Mwanza Market and Tanzania Parliament. Please, be informed before making all your useless comments.
 
Asa unacommand tuelewe wakati unaongea nonsense ? Wakati wanazindua mengi majuzi apa la tpa kila kitu kimefanywa na watanzania embu nikutaftie video clip uone alafu ufanye kuoanisha na unachoongea ww NairobiWalker
 
Dar is a dirty village full of slums my friend. Stop burying your head in the sand.Poverty allover, congestion , Prostitution, Drug menace, crime and you dare say modernity? ??? Wake up and smell the coffee. Dar is fast becoming a death trap.
Did I hear a Kenyan saying poverty?????lol mungu atusamehe sisi waafrika..
 
unfortunately i have found out that morocom will be building africas tallest, the building will be owned by a billionnare from dubai, also SA and Ethiopia have buildings in the planning stage that would be very tall, so the battle for tallest has just begun
 
Reactions: MC7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…