Kenya's highest building opens for business

Kenya bana!! Jengo limekaa kama kombora la nuclear ndo la kusifia mbele ya wanaume.
Kenya's UAP is standing at 163 m
PSPF goes up to 153 m
TPA is at 160 m

So Kenya ndio baba na mama wa ukanda huu.
 
Wa wapi wewe, hujui kwamba kombora la nyuklia lina umbo la kusifiwa, na kama jengo linaiga, basi ni hatua nzuri.
Jenga yako hapo kitaa cha Mbagalla halafu utupie mapicha humu. Maana hata mmiliki wa hii hapa kwa picha kakuwahi.

Kenya mna hulka ya kutokukubali kushindwa yaani hata kama kitu ni kibaya mnasifia tu ndo maana wazungu wamewashika nyeti!jengo lenu ni kama majengo ya miaka ya 60 hivi,kubali ama ukatae ukweli utabaki kuwa pale pale.
 
Wewe utasema jengo mbaya ukitumia standard ya wapi au vigezo vipi.... bora upige kimya maana unatia aibu.
 
just asking mbona dar mnapenda bright colours excess.....cz of joto au ni uraibu tu
Dar has beautiful the most beautiful sky in East Africa. Bright colors brings happiness and joy.
 
ghorofa LA kishamba

Jengo lina sura mbaya sana..

Jengo la Kenya halina hata mvuto!!!!

Za danganyika unadhani ziko na sura.??? Huh!

Kenya bana!! Jengo limekaa kama kombora la nuclear ndo la kusifia mbele ya wanaume.

Kenya mna hulka ya kutokukubali kushindwa yaani hata kama kitu ni kibaya mnasifia tu ndo maana wazungu wamewashika nyeti!jengo lenu ni kama majengo ya miaka ya 60 hivi,kubali ama ukatae ukweli utabaki kuwa pale pale.
Ghorofa la kikenya limezeeka kama lilijengwa 1925, halina style kabisa,
 
Wa wapi wewe, hujui kwamba kombora la nyuklia lina umbo la kusifiwa, na kama jengo linaiga, basi ni hatua nzuri.
Jenga yako hapo kitaa cha Mbagalla halafu utupie mapicha humu. Maana hata mmiliki wa hii hapa kwa picha kakuwahi.

Umesahau kibera??? Kimya mnyufuuu...!
 
After realizing they have been confined to history only months after beating their chests here that they have the tallest in east africa now the context has changed to aesthetics. smh
 
😀😀😀😀😀😀😀
Hako kajengo ka waKenya wanako kasifu kwa urefu, utafikiri kanisa la kule Mwakaleli Tukuyu, niliwahi enda mwaka fulani.
Teh teh teh.
 
Hahahaha. Wivu utakumaliza.When TPA was the tallest for a few days si you felt like you had just ejaculated. Now letme tell you for free you are not going to see that title for the next 50 years as long as Hass Towers is Rising nuh!
 
Kenya mna hulka ya kutokukubali kushindwa yaani hata kama kitu ni kibaya mnasifia tu ndo maana wazungu wamewashika nyeti!jengo lenu ni kama majengo ya miaka ya 60 hivi,kubali ama ukatae ukweli utabaki kuwa pale pale.

It was already this imposing in its glass-cladding and surface plastering stage

After the topping out and all.....behold one of the Kenya's most imposing towers!

Kenya's UAP is standing at 163 m
PSPF goes up to 153 m
TPA is at 160 m

So Kenya ndio baba na mama wa ukanda huu.
Does everything have to be about Kenya? Would it make the building any shorter if at all u hadn't mentioned that it's the tallest in the whole of East Africa? Let's say it is that tallest, how has it eased or bettered your life in any way? There are things worth bragging for and claiming your country is better than all others doesn't in any way make it better. There is patriotism and mere stupidity. Learn to differentiate the two.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…