Kenya's Ice Hockey Team Makes History in Canada

Congrats to Kenya Hockey Team and Kenya
 
its 2017 technology allows for such!!!! ow yeah forgot technology doesn't work well in LDC countries like Tanzania with illiterate lazy fools such as your self
You'll busy want to be White, good luck with that.
 
Hizo picha hapo juu ambazo Hamster255 amezipost ni ICE rink ambayo ipo hapa hapa Kenya, Mombasa Road. Alafu kwenye taarifa ya mada imeandikwa wazi kwamba mazoezi yao huwa wanaifanyia hapo, on ICE. Usiwe unacomment kabla ya kusoma taarifa kwa umakini. Utajiabisha bure.
 
Wenzenu wana natural ice, wanaweza kakimbia huko hata kama hakuna stima. Nyinyi no stima no show, mnarukia vitu sio meant for you.
 
Atleast parts of Central kenya experience winter snow plus kenya has a huge Ice field in mt kenya which can be used in training not to forget the Ice rink in Nairobi then lastly the athletes go to train abroad "there is enough money" na Utatarajia aje mtu wa Garissa afanye hii sport!? In kenya, The kalenjins do Marathon,Luos play football,Luhyas Rugby,Cushites swim. It all depends which part of the country you come from so usitudanganye hapa. Buda msilinganishe Tz na Kenya. Utaumia.
 
Wenzenu wana natural ice, wanaweza kakimbia huko hata kama hakuna stima. Nyinyi no stima no show, mnarukia vitu sio meant for you.
Mzee baba, acha kukurupuka, hata hizo nchi ambazo unasema zina 'natural ice', whatever that means, nadhani hujui tofauti ya ice na snow. Kwenye nchi hizo huwa wanatumia indoor rinks kama hiyo hapo ambayo ipo Mombasa Road. Tena ice rink huwa hazitumii umeme bali ni teknolojia ya kutumia 'chemical reactions' ambazo huwa zinatengeneza 'coolant' ya ku'freeze' maji ambayo huwa kwa surface ya ice rink. Hujajiuliza huwa wanatumiaje ice rinks mwaka mzima hata temp. zikipanda wakati wa summer?
 
Mimi nilitegemea na madege yote hayo ya KQ mtakuwa mmechanja mbuga na kuona dunia, kumbe mpo mpo tu mnakamua maziwa ya ngombe Kajiado.

Kwa uwelewaji wako hii michezo ya Ice hockey, ice skating etc ilianzia wapi kama sio kwenye frozen lakes n rivers? Sana Kenya mna hizo frozen Lakes n Rivers? Lini uliona temperature za below zero huko Kenya? Kama unafikiri kila kitu cheupe ulaya ni snow, tafuta kipindi cha ICE ROAD TRUCKERS cha Canada ujionee mwenywe.
 
Mimi nilitegemea na madege yote hayo ya KQ mtakuwa mmechanja mbuga na kuona dunia, kumbe mpo mpo tu mnakamua maziwa ya ngombe Kajiado.

Kwa uwelewaji wako hii michezo ya Ice hockey, ice skating etc ilianzia wapi kama sio kwenye frozen lakes n rivers?
Proffesional ice hockey na ice skating enzi hizi huwa zinafanywa kwa indoor artificial ice rinks na sio kwenye ice kwa frozen lakes na rivers(ambazo huwa zinakuja na misimu) au kwenye ice glaciers baharini ambazo wewe hapo unaziita 'natural ice'. Artificial ice rinks hazihitaji umeme, kama ulivokuwa ukihadaa watu hapa, ili ziwe na ice surfaces. Huwa wanatumia teknolojia na kemikali kutengeneza coolant za kudumisha ice surfaces zao. Tembea Kenya pale Panari Sky Centre, Mombasa Road ujionee mwenyewe ice rink ambayo ipo hapa hapa Afrika, all year round. Hapo ndipo hiyo timu ya ice hockey huwa inajifunzia na kufanyia mazoezi yao. Au ukomalie tu kwenye majungu mzee, tuache sisi vijana tudhubutu.
 

Hata sijuwi nianzie wapi, coolant kazi yake sio kufreeze the ice, in fact its quite opposite. Coolant is used as anti freeze to prevent pipes getting clogs with ice underneath the ice surface on rink. Kama ni artificial rink (not a frozen river) lazima kuwa na pump to supply "COLD WATER" under the rink so that the ice can heel when its cracks. Secondly you'll need refrigerator to keep the above surface from melting. Sasa hiyo ya kwenu unasema it uses coolant, coolant for what, melt the ice? Search water coolant in car upate majibu yake.
 
Man, its clear that you are out of your depth and you are making things up as you go. I don't have the time for a circle jerk, google that stuff and educate yourself. If you still don't get it, then have it your way.
 
Man, its clear that you are out of your depth and you are making things up as you go. I don't have the time for a circle jerk, google that stuff and educate yourself. If you still don't get it, then have it your way.
if it was 1980's negekuelewa, lakini 2018 unashidwa kujuwa even a simple principle of refrigeration... shame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…