Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Tanzania entered the period with 4.3% inflation, a central bank policy rate of about 6.25%, and 6.0% first-quarter growth.
Heche aliulizwa Mahakamani kama amewahi kushuhudia mtu akitekwa akasema hapana.Do you trust data from that Shithole where truthful citizens are routinely hunted, abducted, sodomised and killed?!
Kwani Heche ni policcm?Heche aliulizwa Mahakamani kama amewahi kushuhudia mtu akitekwa akasema hapana.
kauli ya polepole ya mwisho alisema yupo cuba hakulipwa hela za kurudi za nyumbani tz alimwambia nani yupo tz, kama alificha taarifa zake asitake tuhangaike sisi kumtafuta, halafu kaka yake yameishia wapi ile mikwara?Kwani Heche ni policcm?
Kwa hiyo mzee Ali Kibao, Polepole, Mdude, Djumbe, Chaula, na wengine wengi hawakutekwa?
🚮kauli ya polepole ya mwisho alisema yupo cuba hakulipwa hela za kurudi za nyumbani tz alimwambia nani yupo tz, kama alificha taarifa zake asitake tuhangaike sisi kumtafuta, halafu kaka yake yameishia wapi ile mikwara?
Djumbe nae mbona kama kituko kutekwa kwake hata havieleweki
Kibao nae twambie katekwa na nani?
tupe taarifa za waliotekwa kama unazo
Wewe mbona hujatekwa?
Wewe ukitekwa inatoshaWewe mbona hujatekwa?
Ndio nyie mnasema nchi ina hofu lkn ukiangalia kariakoo pale sema nani ana hofuWewe ukitekwa inatosha