kWANI ULITARAJIA PICHA? Soma kisha utaelewa na ukitaka source unaweza fanya googling unless hauna bundles.Embu nirushie source nami nijielimishe ZAIDI.
What are you buzzing about LOST NASARITE?Yes, an LDC country called Tanzania is the Model that your tin god uhuru kenyatta wants to copy. And the reasons speak for themselves, highest economic growth, low corruption levels, no ethinic competition. God bless JPM , God bless Nyerere
Whats your problem? Uhuru is a nasa principal never got the memo?What are you buzzing about LOST NASARITE?
Nasarite usikule moto bana hapa ni utani tuππWhats your problem? Uhuru is a nasa principal never got the memo?
Kenya ranked as 'failed state'LA MAANA KUJIFUNZA TOKA KWENU NI JINSI YA KUONDOKEA LDC..
Kenya ranked as 'failed state'umeshinda budaπππππ
I now Baptize you Kenya ranked as 'failed state'πKenya ranked as 'failed state'
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
Hapana, lengo langu ni kuwapo motisha ili mtoke huko, sio kundi zuri hiloI now Baptize you Kenya ranked as 'failed state'π
Nawapa motisha pia muondoke huko LDC East Africa iweze kukuwa kwa pamoja.Hapana, lengo langu ni kuwapo motisha ili mtoke huko, sio kundi zuri hilo
LDC inahusiana na uchumi tu, uchumi wetu unakua kwa kasi sana, hopefully by 2020 tutatoka, kumbuka hata ninyi kama sio kupika data bado mngekuwa LDC. Lakini kuwa failed state inahusisha vipengele vyote, sasa mtatokaje huko?Nawapa motisha pia muondoke huko LDC East Africa iweze kukuwa kwa pamoja.
Ukiona mwenzako anafanya jambo ambalo linamueka level ya juu pia nawe fanya kama yeye sio kunungunika kila saa...hata nyinyi pikeni datA muondokee LDC STATES...Lakini hii Map sio sisi tuepikaLDC inahusiana na uchumi tu, uchumi wetu unakua kwa kasi sana, hopefully by 2020 tutatoka, kumbuka hata ninyi kama sio kupika data bado mngekuwa LDC. Lakini kuwa failed state inahusisha vipengele vyote, sasa mtatokaje huko?
Kenya ranked as 'failed state'
Nimekuambia tumeweka bidii na matunda yanaonekana kwa uchumi wetu kukua kwa kasi sana. Ninyi mnafanya mikakati gani ya kujitoa kundi la failed states?Ukiona mwenzako anafanya jambo ambalo linamueka level ya juu pia nawe fanya kama yeye sio kunungunika kila saa...hata nyinyi pikeni datA muondokee LDC STATES...Lakini hii Map sio sisi tuepika
Habari hii yako ni ya 2013 five years ago lakini nyie kuwa LDC NI evident hadi wa leo 20th March 2018.Nimekuambia tumeweka bidii na matunda yanaonekana kwa uchumi wetu kukua kwa kasi sana. Ninyi mnafanya mikakati gani ya kujitoa kundi la failed states?
Kenya ranked as 'failed state'
Nasa yule! Nasa wale! NASA hao! πππWhat are you buzzing about LOST NASARITE?
Hata ninyi kuwa Lower middle income ni habari ya zamani, vipi tuchukulie kwamba Kenya is nor longer Lower middle income kwasababu habari ni yazamani?Habari hii yako ni ya 2013 five years ago lakini nyie kuwa LDC NI evident hadi wa leo 20th March 2018.
Basi tuchukulie Kenya ishaingia upper middle income ilhali nyie bado mpo LDC.Hata ninyi kuwa Lower middle income ni habari ya zamani, vipi tuchukulie kwamba Kenya is nor longer Lower middle income kwasababu habari ni yazamani?
Kenya ranked as 'failed state'
Maembe ya Ruiru yamekuaffect sana.Yes, an LDC country called Tanzania is the Model that your tin god uhuru kenyatta wants to copy. And the reasons speak for themselves, highest economic growth, low corruption levels, no ethinic competition. God bless JPM , God bless Nyerere
Uhuru amenaswa, Sasa amebaki mnyonge anatafuta urafiki wa JPM kupitia Raila Odinga. Maajabu ni kwaba anatarajiwa kwenda ikulu huko magogoni akalie Kijiwe apewe mawaidha ya Uongozi na Uchumi na Mhe JPMNasa yule! Nasa wale! NASA hao! πππ