Kenya's Lupita Nyong'o and Rihanna could star in a movie

Jay456watt

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
10,356
Reaction score
7,992



Picha hiyo ya mitindo ilisambazwa na mashabiki wengi na sasa Rihana amesema kuwa ana mpango kama huo katika mtandao wake wa Twitter.

Mashabiki wamependa sana wazo hilo.

Lupita naye alijibu katika mtandao wa Twitter akisema mimi naunga mkono pendekezo hilo iwapo umeunga mkono.

Zaidi ya mashabiki 200,000 walilipenda chapisho hilo la Twitter na mapema siku ya Jumatatu Rihanna alijibu ''I'm Pit'z''-jina la utani katika filamu yake ya Star Wars.


Haki miliki ya pichaTWITTER
Image caption
Maoni ya mashabiki kuhusu picha hiyo katika Twitter
Watu wengine 99,000 walilipenda chapisho hilo na sasa nyota hao sasa wameunga mkono pendekezo hilo .

Haki miliki ya pichaTWITTER
Image captionBaadhi ya mashabiki waliopendekeza wazo la filamu ya nyota hao wawili
Wazo la filamu kutokana na picha hiyo lilionekana katika mtandao wa Tumblr wakati picha hiyo ilipochapishwa kwa mara ya kwanza ,lakini sasa wawili hao wamejumuika na sasa inaonekana kwamba mtandao wa Twitter ulitengeza filamu.

Haki miliki ya pichaTWITTER
Image caption
Rihanna alijibu kwa kusema kuwa inawezekana
Lakini huku mashabiki wakichangia ni nani anayefaa kupata sifa hizo kwa wazo hilo na kupata faida.

Mashabiki wengi wa Twitter hatahivyo wanegependa wazo hilo kufanikiwa.

Picha ya Rihanna na Lupita Nyong'o yazua wazo la filamu - BBC Swahili
 
Lupita ni star wa filamu maarufu Hollywood.
 
Toto lenyewe natural, halijajipodoa. Hivi ni juhudi zipi za kuzingaia ili umfikishe binti yako hapo.
Aisee Kwa sasa hizi rangi zinapotea sana Kwa kasi ya ajabu
 
Hey Lupita participated in MatGala together with the likes of Nickminaj, Rihana etc
 



Halafu watakupa Mgao baada ya mauzo ya movie yao?
 
Asee nampenda Lupita balaaaaaaa,ngoja nikomae nifanye mchakato wa kumuoa!!
 
Bongo movie fanyeni maandamano tena,
Haiwezekani Rihana awaharibie soko lenu la sinema kwa kuingilia kazi yenu tena na Lupita [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Toto lenyewe natural, halijajipodoa. Hivi ni juhudi zipi za kuzingaia ili umfikishe binti yako hapo.
Nimeona picha ya Ben Pol nikatokwa na macho na moyo ukanienda mbio. Kulea watoto hasa teenagers miaka ya sasa imekuwa ngumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…