Kenya's military might


Kenya hawana Jeshi LA Vita. Huu ni ukweli Mchungu kwenu.
Hawa mgambo WA kenya wamevaa combat na buti kwa ufadhili wa USA, Wasiwadanganye kwa madanganyo matupu. Number don't lie.

Kama kuna sehemu serikali yetu imeweka Bajeti kubwa ni Jeshini.

Kama wangepunguza bajeti huku, Nina uhakika kama nchi tungekua dominant kiuchumi east and cenral Africa

Nyie Jisifieni Katiba mpya Lakini sio Jeshi.

Nimekupa tu ukweli huu just in a nutshell.
Manake najua nyinyi na sisi hatutakuja kuwachapa kwasababu mumekua marafiki zetu WA kihistoria. Na mumewekeza Sana Tanzania kwenyw sector mbalimbali.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa vijana wa FFU wanaweza kuchanganya kipigo mpaka Katikati ya Nairobi


Ngw'ana Kabula
whey can't they pose to a camera when they're in an action with criminals to show us what they got, to my opinion i can say those are amateurs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…