Kenya's military might

KDF ina uzoefu na vita gani?
 
Wewe shusha nondo hapa. Weka picha ya vifaa vyenu.
Uzuri wa nchi za kijamaa hatuvamii. Nyie jaribuni kuja kuchukua mlima kilimanjaro si mnasema wenu?
Nyie Kenya ni makelele mengi sana.

Mnazo hizi?

FB-6A air defense systems?
 
KDF ina uzoefu na vita gani?
kwani ww kipofu?? pale somalia na sudan kusini wanalisha ng'ombe au? nyi mna uzoefu upi?? nchi imetulia sana...hakuna threat from within or without...tanzania has never gone to war...my friends, huwa mnapenda majivuno ila hamna chochote...nenda Google just search most powerful african militaries...kisha uje uniambie...hata nashuku hizo missile launchers hamjui kutumia...
 
Wewe shusha nondo hapa. Weka picha ya vifaa vyenu.
Uzuri wa nchi za kijamaa hatuvamii. Nyie jaribuni kuja kuchukua mlima kilimanjaro si mnasema wenu?
Nyie Kenya ni makelele mengi sana.

Mnazo hizi?

FB-6A air defense systems?
vita ni uzoefu pamoja na facilities sio tu kuwa na missile launchers mnafikiri nyie babkubwa...hahahaha...njooni na TPDF muone tukiwanyorosha mpaka msikie...
 
Hivi umewahi kujiuliza.
Hivi nyie kenya mpo na vita na somalia (Vita ya kenya na somalia)
Hivi nyie Kenya mpo na vita na S. Sudani (Vita ya kenya na S. Sudani)

Nataka nijue leo kama kunavita kati ya nchi hizo.
 
sawa mkuu ila pia wanaotoa maoni hawako mbali na ukweli...si umeona wametaja Egypt na Ethiopia...wamedanganya?
 
Leta uzoefu wenu hapa. Na ni wapi mmefanikiwa.
 
Hivi umewahi kujiuliza.
Hivi nyie kenya mpo na vita na somalia (Vita ya kenya na somalia)
Hivi nyie Kenya mpo na vita na S. Sudani (Vita ya kenya na S. Sudani)

Nataka nijue leo kama kunavita kati ya nchi hizo.
hakuna vita kati ya kenya na nchi hizo moja kwa moja ila kuna vita kati ya KDF na South Sudanese rebels plus Alshabaab militants...hio ni exposure tosha ya kukabili adui...nyi mmefanya lipi?
 
Kwakipimo kipi muwamba ngozi huvutia kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leta uzoefu wenu hapa. Na ni wapi mmefanikiwa.
kama umetazama video ile utapata jibu ila wacha nkurahisishie kazi...pale KDF wamewafukuza militants toka jiji la Kismayo...jiji lililotumika na alshabaab kwa miaka mingi kiuchumi...
 
hakuna vita kati ya kenya na nchi hizo moja kwa moja ila kuna vita kati ya KDF na South Sudanese rebels plus Alshabaab militants...hio ni exposure tosha ya kukabili adui...nyi mmefanya lipi?
Sasa Sudanese na Alshababu lini mmefanikiwa sasa?
Miaka sasa hivi zaidi ya 5 mnalia lia tu huko somalia.
Sisi tulimaliza ndani ya week tatu huko congo (M23)
Tulimaliza ndani ya siku moja huko comoros
Tulimaliza ndani ya week moja huko Seychelles.
Ndani ya mwaka mmoja Nduli Idd Amin Dadaa aliondoka Uganda.
Tuliwapiga wareno ndani ya mwaka mmoja wakatokomea Mozambique.

Sasa leta uzoefu wenu kenya hapa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…