Kenya's military might

Marekebisho kidogo, Tanzania ilikataa kupeleka jeshi ila ilisema itawafundisha polisi wa Somalia kule CCP Moshi kwa ajili ya kulinda usalama wa raia wa Somalia, sio kufundisha wanajeshi wa somalia, kwa sababu jukumu la kufindisha jeshi la Somalia lipo chini ya vikosi vya AMISOM vilivyopo Somalia, taarifa nilizonazo ambazo sijazithibitisha ni kwamba baadhi ya hao polisi walifundishwa na kurudi Somalia.

Na ikumbukwe kwamba, Kenya haikuwa miongoni mwa nchi zilizoombwa kupeleka jeshi huko Somalia kuunda kikosi cha AMISOM kutokana na ujirani wake na Somalia, Kenya ililazimika kwenda huko baada ya Alshabab kuanza kuichokoza Kenya, kwa hiyo Kenya ilienda kulinda usalama wake, walipofika huko ndiyo ikaonekana ni vizuri waunganishwe kwenya AMISOM ili wawe chini ya komand moja kwa kuwa adui ni mmoja. Lakini vyovyote vile itakavyokua, Kikwete alifanya uamuzi wa busara sana kukataa kujiingiza katika vita hii, ninahisi alishauriwa na wataalamu wa TPDF asipeleke jeshi kwa sababu walijua uwezekano wa kuvishinda hivi vita ulikua mgumu sana, hiyo ni sifa moja wapo wa TPDF, wana very good military inteligency

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mambo ya kutia ugali kwenye sahani yametokea wapi sasa? Kwani tunaongelea ugali hapa?
Ninajaribu kusema kuwa ata T.Z ikiwa na jeshi iliyoogopewa sana Afrika nzima hiyo haitaweka ugali kwa sahani ya mtizi wa kawaida. Pia Kenya ikiwa na jeshi kali haitaniongezea pesa kwa benki. Jeshi ya KE itanisaidia tu wakati KE ikivamiwa na nchi nyingine. Lakini KE tunapenda amani kwa hivyo sioni uvamizi ukifanyika hivi karibuni.
 
Sasa unataka kila siku tujadili issue za ugali? Mambo ya ugali pambana na familia yako.
Naona umeanza kuiogopa Tanzania ulikuwa unaichukulia poa siyo?
 
Leta proof ya hayo unayoyasema.
Kama sivyo zitakuwa stori zako za vijiweni.
proof ya nini , Hayo ni mambo yako kwa public domain.
Fanya google kidogo

Wengi wenu hua hamjui mnachosema ikija kwa vita vya Somalia, mnajitungia story mnajiambia wenyewe kwa wenyewe alafu mnaaminiana kua hivyo nd iko...

Kenya admits to secret police training for Somalia

Kama hujui ile serekali inayo tambulika Duniani kua Serikali ya Somalia ilianza kama TFG -Transitional Federal Government. TFG ilundwa hapa Kenya.. Rais pamoja na bunge la kwanza la Somalia baada ya Civil war lilikua laishi na Kufanya kazi kutokea Nairobi... Wafanyikazi wa kwanza wa serikali (Civil servants) walipata mafunzo kutoka Serikali ya Kenya... Security force ambayo iliwalinda hao ilikua imepata mafunzo kenya







2002
Somali Reconciliation Conference
Held in Eldoret, Kenya, this conference was attended by most TFG supporters. However, at the time, the Rahanweyn Resistance Army (RRA) was still hotly contending with other factions, including warlord Adan Madobe, who captured Baidoa. The RRA accused the Juba Valley Alliance of assisting the warlord OF ERA, an accusation denied by the JVA leader Barre Adan Shire Hiiraale.

2004
Transitional Federal Charter
In February 2004, at Nairobi, Kenya, the government endorsed the Transitional Federal Charter of the Somali Republic.

Presidency of Abdullahi Yusuf Ahmed (2004–2008)
On October 10, 2004, in a session held by the Transitional Federal Parliament (TFP) in Nairobi, Ahmed was elected as President of the Transitional Federal Government(TFG), an interim federal administrative body that he had helped establish earlier in the year. He received 189 votes from the TFG Parliament, while the closest contender, erstwhile Somali ambassador to Washington Abdullahi Ahmed Addou, got 79 votes in the third round of voting. The then incumbent President of Somalia, Abdiqasim Salad Hassan, peacefully withdrew his candidature.Ahmed was sworn in a few days later on October 14, 2004.










Even taxes of ggods that are imported to Somalia, we used to collect for them

 
Maelezo yote ya TFG yapo hapa.
Hakuna sehemu yoyote wameongelea kenya
Transitional Federal Government - Wikipedia

Usitufanye hatujui bana. Kila kitu kiko wazi, nyie wakenya ni mbwembwe zenu tu.
Leta proof za kusema Tanzania ilikataa kufundisha somalia kwa kuogopa kuvamiwa.
 


Halafu umesoma hapa lakini?

The Tanzania People’s Defence Force (TPDF) will soon start training 1 000 members of the Somali National Army (SNA) including soldiers and officers as part of its contribution to the ongoing international security and stabilisation operation in the country.

Director of Communications in President Jakaya Kikwete's office, Salva Rweyemamu, told Tanzanian media that the training programme will be conducted in terms of a revived military co-operation agreement signed between the two countries in 2012.

Rweyemamu said the TPDF is ready to start training batches of Somali soldiers as soon the government in Mogadishu concludes the selection of the first recruits.


Tanzania to train 1 000 Somali troops | defenceWeb
 
Halafu katika link hapo juu usisahau kusoma hiki kipengere


Defence and National Service Hussein Mwinyi said the Somali training programme is a continuation of the TPDF role as a leading regional provider of training for combat and peacekeeping operations in East Africa as a contribution regional stability.

He said the TPDF has so far conducted numerous training programmes for military officers from Kenya, Rwanda, Burundi and the Seychelles in East Africa.

Southern African troops and officers who have graduated in various disciplines from TPDF's National Defence College training programmes have been drawn from Malawi, Zambia, Botswana, Swaziland, Zimbabwe and Namibia.

Apart from training programmes, the TPDF has several foreign military deployments which include the Democratic Republic of Congo (DRC) where the 1st Battalion has provided key backing for several operations against rebel groups in the east.


Tanzania to train 1 000 Somali troops | defenceWeb
 
Hilo ni jambo la kawaida tu, Hata Kenya imetrain wanajeshi na makomander kutoka kwa nchi nyingi sana Africa na nje ya Africa ikiwemo wanajeshi wa Tanzania.....
Issue tunayoongelea ni Somalia........


y Deodatus Balile in Dar es Salaam


‘Big trouble’ for Tanzania?

While the government has said it is prepared to train the Somali soldiers in Tanzania, members of parliament and citizens have cautioned against expanding that mission and sending troops to Somalia.

Job Ndugai, deputy speaker of Tanzania’s National Assembly, said it was too dangerous for national security to send troops to Somalia, which would antagonise al-Shabaab.

“On this I will be the last person to consent,” he told Sabahi. “Look at what is happening to Kenya. Seriously, the government should not even contemplate the idea of sending troops to Somalia. If anything, we should facilitate conferences for conflicting parties to resolve their differences.”

He said Tanzanian troops cannot be sent to any country without the parliament’s consent through the Defence and Security Committee, and he is sure that any such plan would be blocked by lawmakers.

“Tanzania should not engage in this business completely. I will be the last person to support a troop intervention from Tanzania to Somalia,” Ndugai said.

Lawmaker Vincent Nyerere, a member of the Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) opposition party, said Tanzania should conduct an independent study to consider whether the benefits of engaging in the Somali conflict are worth it.

“We better learn from our brothers in Kenya,” he told Sabahi. “Previously Kenya had no hostility with Somalia, but by intervening in Somalia they are facing terrorism attacks [regularly]. We should avoid this trap.”

Deus Kibamba, executive director of the Tanzania Citizens’ Information Bureau, also said the government should avoid direct engagement in the Somali conflict.

He said the TPDF was formed to defend Tanzania’s borders and its citizens, but the current trend of peace intervention worries him.

“The terrorist groups we are hearing about like Boko Haram in Nigeria are funded by countries or individuals with grudges against the government in power,” he told Sabahi. “As we continue supporting what we call peacekeeping, slowly we create enemies.”

“I think Tanzania will soon overstretch our resources if we engage in every conflict that happens,” he said. “We will create enemies and it will be big trouble for our country.”

Tanzanian forces will not be deployed to Somalia:

Rweyemamu reassured Tanzanians that the government would absolutely not be sending troops to Somalia and that “there has never been such a request from Somalia or the African Union”.

Rweyemamu also dismissed concerns that Tanzania would become an al-Shabaab target for assisting the Somali government.

“Remember there is a legitimate government in Somalia,” he told Sabahi in an interview June 5th. “Tanzania will not be in the war zone. Our interest, which is the interest of anyone with a like mind, is to see peace prevailing in Somalia. It is in everyone’s interests to restore peace in Somalia — including al-Shabaab’s.”
Tanzania to train 1,000 Somali soldiers
 
THat training never happened... Infact, the Tanzania Governmnet has never spoken about the situation in Somalia since then...

Infact viongozi wenu bungeni walikua ni waonga mpaka wakaanza ku suggest eti tuketi chini na alshabaab tuongee.. Alshabaab hawa ambao wanataka kufanya somali iwe some form of caliphate
 
THat training never happened... Infact, the Tanzania Governmnet has never spoken about the situation in Somalia since then
Unadhani sisi ni wapiga kelele kama nyie? Tunafundisha watu wanaenda kwenye nchi zao kwa siri. Huku wakitumikia nchi yao.

Kila nchi ipo na interest zake. Interest zenu kenya ni sifa za kijinga. Lakini zetu ni kuweka Dunia kuwa sehemu salama ya kuishi.
 
hahahaha, inshort mliogopa kuwafundisha.... Vitu kama hivi hua hawezi kuficha enzi hizi. Serekali ya Somali yenyewe bado inaomba msaada kwa nchi yoyote kuwasaidi na mafunzo..
Mturuki kwa sasa ndo anaedelea kuwasaidia, pamoja na UK na US wanaendela kutoa mafunzo, Nchi zengine za Africa kama kina tanzania zimenyamaza kabisaa.. Mambo ya somalia tumekua tukifwatia tokea Kitambo sana, hamna lolote jipya unaeza niambia
 
Utajulia wapi wewe kijana?
Anza kwanza kwa kusoma haya mambo (Nakumegea kidogo kidogo tu):
ila usipayuke
Somalia’s government has approved a monthly retirement income of $40,000 for former Somali President Hassan Sheikh Mohamud.
The cabinet gave its approval last week after a meeting over the retirement package of the former president who is currently living in Tanzania.


Ex-Somali president granted $40,000 monthly retirement income | Africanews
 
Hizi zana mbili Kenya mnazo? Annael hivi hizi zana mbili zinaitwaje.? TZ sio mchezo.
 
Mobile Radar Kenya mnazo?? Jemnajua kuwa Radar mpya ya Tanzania inachukua range hadi Kenya? Hiyo nisiri nimewapa.
 
Hakuna cha KDF wala JWTZ wote vilaza tu. Apa Tanzania tumeshindwa Ku deal Na issue ya kibiti bado maonyesho yakijesh tunaonyeshana kuvunja matofali kifuani. Africa we have a long way to go

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…