Naona kaletwa hapa ili watanzania tumchangamkie! Lakini hilo jina la Anyango nadhani limekaa kijaluo ingawa demu mwenyewe ni mweupe ka mzungu vile. Freshi angekuwa mweusi kama mkaa. Anyway, mtoto katulia (mzuri)!Kwa hiyo?
Hahaha! ndugu yangu hasira za j2 hazijaisha tu ? lol!Kwa hiyo?
<br />Kama huyo ndiye the most beautful girl, basi Kenya kuna tatizo.