Kenya's proposal to build dams on Mara river could ruin Tanzania's Serengeti Ecosystem

Comparing Kenya to an evil witch? Too far!
I never meant to offend anybody, my point is once they build those dams, the great Serengeti and the animal migration is gone forever.

And hundreds if not thousands of people whose income depends on tourism business based on Sarengeti National Park are going to lose their jobs. Which makes this entire project look like an evil witch project.
 
jenga haraka sana....walichoma vifaranga wetu hawa makende wa bongo...yaani mtakuwa mkiwaletea wanyama wenu maji kwa mitungi mashoga nyie...
With all due respect, ingiza kienyeji hao vifaranga nchini Uingereza, Australia, au Marekani utaona kama kuwachoma moto ilikuwa kuwabania wakenya.

Ile inafanyika kote duniani kuzuia kusambaza magonjwa na kuzuia mbegu ya mifugo ya nchi husika isipotee au kuharibiwa.
Kama wangeomba permit zote na kufanyiwa chanjo za magonjwa wangeruhusiwa tu tena kwa gharama ndogo.
 
ni kweli...asante kwa kunifungua macho ila vipi kuhusu ng'ombe wetu wa Maasai?
 
ni kweli...asante kwa kunifungua macho ila vipi kuhusu ng'ombe wetu wa Maasai?
Hao ng'ombe na ufugaji wetu wa kuhama hama ovyo na idadi kubwa ya mifugo ni tatizo kubwa sana. Kwa hivyo ilichokifanya Kenya ni sahihi kabisa.
Hata TZ ime confiscate ng'ombe za nchi jirani kwa mtindo huu huu waliofanya Kenya, watz tukilialia kwa hili itakuwa ni double standard.
 
Hawa wakenya walipinga sana barabara na lodge nzuri Serengeti. Ngoja waanze tuone itakuwaje. Tit fot tat
 
Hawa wakenya walipinga sana barabara na lodge nzuri Serengeti. Ngoja waanze tuone itakuwaje. Tit fot tat
Tit for Tat ndugu...kisha jengeni barabara tu...bora isipitie nchini kenya hata kilomita moja...jengeni barabara yenu nasi tujenge dams zetu...yaani hao nyumbu mtakua mkiwaletea maji kwa beseni ili wasife na kiu...
 
Tunahitaji kuboresha mahusiano na Kenya. Ni majirani zetu hawa. Hivi karibuni mahusiano hayajawa mazuri. Leo imetoka habari kwamba wamekamata ngombe 4,000 kutoka TZ walioingia nchini kwao kimakosa, na wanataka kuwachoma moto. Ni kama wanalipiza kisasi. Tuboreshe mahusiano kwa faida za pande zote mbili.
 
Waache lijengwe mbona Tanzania wanajenga bwawa kubwa kule mbuga ya Selou kuzalisha umeme..
Mkuu kuna tofauti kubwa sana ya jiografia ya Selous na ya Mto Mara hasa hapo linapotaka kujengwa bwawa la mradi wa Stiegler hapatalazimisha wanyama washindwe kwenda sehemu nyingine inayohitajika uwepo wao (wanyama) ktk biashara ya utalii.
 
Wakijenga bwawa si tunasubiri wanyama wote washa rudi serengeti sisi tunajenga ukuta hapo watavimba hadi kupasuka
 
Ajira TZ imekuwa ngumu so mkizuia maji yenu vojana wa TZ watapa ajira ya kuwapelekea wanyama wetu maji huko serengeti.Maana JPM huwa hajiribiwi
 
jenga haraka sana....walichoma vifaranga wetu hawa makende wa bongo...yaani mtakuwa mkiwaletea wanyama wenu maji kwa mitungi mashoga nyie...
daaaaah chief!!! cant believe hujala ban mpaka saa hii
 
jenga haraka sana....walichoma vifaranga wetu hawa makende wa bongo...yaani mtakuwa mkiwaletea wanyama wenu maji kwa mitungi mashoga nyie...
Mashoga ni nyie sio kwa bongo ya sasa hatuna shobo mkizingua tunawazingua zaida haina kuremba hii jombaaa magu ni mwanaume hana muda wa kucheka na wajingaa
 
jenga haraka sana....walichoma vifaranga wetu hawa makende wa bongo...yaani mtakuwa mkiwaletea wanyama wenu maji kwa mitungi mashoga nyie...
Wehu nyie, tutachoma mpaka wahamiaj haram sio vikuku vyenu. tena msitujarbu kabsa
 
Wehu nyie, tutachoma mpaka wahamiaj haram sio vikuku vyenu. tena msitujarbu kabsa
chomeni tu ila nimewaambia nyumbu mtawaletea maji ya kunywa kwa beseni... ama kutakavokauka watahamia wote Maasai Mara pamoja na simba na wanyama wengine
 
Mashoga ni nyie sio kwa bongo ya sasa hatuna shobo mkizingua tunawazingua zaida haina kuremba hii jombaaa magu ni mwanaume hana muda wa kucheka na wajingaa
haya rudi nyumbani Tandale sasa...kumekua usiku
 
Wacha wajenge hilo bwawa tu,,nasi tutajenga ziwa ndani ya Serengeti.!
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…