babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
We don't care man, Kenya hatuna hiyo akili ya "ukiona mwenziyo ana kitu usidhani amechukua chako, nenda tafuta new opportunities", fundamento wewe
Mbona iume ilhali tutakua tumewakwapua, kwanza sisi wenyewe ndio tutawatangazia vivutio vya huko ili tuwatafune zaidi, tayari tunawatangazia waje kwenye michezo kisha watapata fursa kujionea mlima wetu wa Kilimanjaro, hii itasababisha waje wengi, baada ya kuwatafuna tutawaleta huko washangae shangae mlima na nyumbu ili na nyie mpate makopo kisha tuwarejeshe huku na kuwaaga.
Ututangazie kwani umesikia hao washiriki hawafahamu hivyo vivutio vilipo [emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu mneniquote wote imewauma hii [emoji23][emoji23][emoji23]
Australia, Corsica na Spain Zimeondolewa ili kuingiza Japan, Kenya na New Zealand, hapo lazima kuna jamaa wanamaumivu sana vile wamondolewa ili sisi tuingie, ha!We be playing in the big league
View attachment 1217330
Hawavijui maana vipo kwa mivivu wa kutupwa, hivyo huwa tunavitangaza na kupigia hela humo.
Angalia hii hapa chini, tangazo la hili tukio
Nonsense,
Kwa karne hii ya internet nani hajui?
njaa ilishawapunguzia uwezo wa kufikiri.
Wanakuja sana, maana leo hii pamoja na internet Wamarekani wengi hujua Afrika ni nchi moja kubwa, hivyo hakuna mwenye muda wa kujua mlima wa wapi, akishatangaziwa aje auone huku akijionea magari yanavyokatiza, anasajiri na kuja, ila sema mlima huonekana vizuri ukiwa upande wa kwetu huku, labda mwenye kiherehere cha kutaka kuukwea ndiye huwa tunampokeza kwenu awape visenti, na kwa umaskini wenu hamuwezi kumkatalia.
Ati visenti,
Sasa mbona ni Tanzania ndio inaingiza pesa nyingi kwenye utalii hapa EA? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kenya tungekua hata na robo ya hivyo vivutio mlivyo navyo, tungeongoza Afrika, lakini kwa vile vpo kwa mivivu, inabidi tuvitumie kukwapua mahela kwa kuvitangaza pembeni.