Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
Wadau, nahitaji msaada wa kufahamishwa kama safaricom ya kenya wanatoa huduma za m-pesa hapa tanzania kwa sisi wateja wao wa safaricom tuishio tanzania. Thanx in advans.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo bado kidogo..ni kama unahamisha pesa nje ya nchi inataka maelezo na commissions na pia detailed proof kwa mpokeaji
Hizo barriers ndo tunazivunja na kupunguza gharama. Banks are simply becoming OBSOLETE in money transfers.hiyo bado kidogo..ni kama unahamisha pesa nje ya nchi inataka maelezo na commissions na pia detailed proof kwa mpokeaji