Ratiba ya treni toka Mombasa kwenda Nairobi bandari kavu imebidi ihairishwe ili treni ijae ndio iondoke.
Hii inaonyesha wasafirishaji bado wanapendelea usafiri wa barabara hata ukiangalia gharama yake ni kubwa kidogo kwa container la futi 20 ,kwa malori ni kati ya $600-800 ila kwa treni ni $500. Ila treni inakikwazo kimoja kwani gharama inaongezeka ukitaka kutoa mzigo bandari kavu Nairobi mpaka maeneo ya viwanda,gharama inaweza kua kati ya $150-300 kutokana na umbali.