Kenya's shilling undervalued

Kenya's shilling undervalued

Engineer levi Devin

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2016
Posts
2,501
Reaction score
1,047
Central Bank of kenya should work hard to ensure that kenya's shilling gets it's exact value they are some forces from Western countries to continue holding African countries hostage by undervaluing their currencies, this is unacceptable and should not be allowed to continue.

World Bank and IMF wanahujumu chumi za Africa.

View attachment 1284233
Hahahaha, ama kweli duniani vituko haviishi. WB inafaidikaje kwa kushusha thamani ya pesa ya Kenya?. Tafadhali usitumie neno Afrika wakati ukimaanisha tatizo la Kenya, kama WB na IMF wangesifia pesa ya Kenya, usingetaja Afrika, ungetaja Kenya. Pambaneni na hali zenu.
 
Inafaidika tena pakubwa tu , remember most of the loans are given by IMF and World Bank unapolipa riba unatumia hela nyingi kuliko kawaida kwa mfano tu gavana wa benki kuu Kenya amesema shilling yetu inafaa kuwa inabadilishwa @96 against the dollar lakini kulingana na hali ilivyo Sasa tunatumia 102 kupata dollar moja kwa Nini? .

Hii ndiyo tabia chafu inayotufanya tuwachukie wakenya tatizo la Kenya wanaliita la Africa au EA ila zuri la Kenya ni la Kenya tukisema stupid monkey utasikia nyani zinalalamika

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Inafaidika tena pakubwa tu , remember most of the loans are given by IMF and World Bank unapolipa riba unatumia hela nyingi kuliko kawaida kwa mfano tu gavana wa benki kuu Kenya amesema shilling yetu inafaa kuwa inabadilishwa @96 against the dollar lakini kulingana na hali ilivyo Sasa tunatumia 102 kupata dollar moja kwa Nini? .
Kama unadhani wanataka kuwadhulumu, acheni kwenda kukopa kwao, endeleeni kuchukua mkopo toka China, acheni kulalamika kama watoto wadogo.

Tafadhali sana usipende kujumlisha matatizo ya Kenya na Afrika au EA, hilo ni tatizo lenu la ndani, uchumi wenu unasinyaa, "production " inashuka kwa kasi, Imports zinaendelea kuzidi Exports kwa mbali sana, Madeni yanazidi kuongezeka, unategemea nini katika hali hiyo?. Pambaneni wenyewe msitaje Africa wala EA.
 
Inafaidika tena pakubwa tu , remember most of the loans are given by IMF and World Bank unapolipa riba unatumia hela nyingi kuliko kawaida kwa mfano tu gavana wa benki kuu Kenya amesema shilling yetu inafaa kuwa inabadilishwa @96 against the dollar lakini kulingana na hali ilivyo Sasa tunatumia 102 kupata dollar moja kwa Nini? .

Kwenye international finance, shida kubwa ni exchange rate risk.
Unakopa kwa USD, unalipa kwa shs. Isitoshe, USD always inapanda against shs. Kwa hiyo utakuta unalipa pesa nyingi ukilinganisha na pesa ulizokopa bila kujumlisha riba. Hapo inabidi lazima ufanye exchange rate hedging.
 
Hahahaha, ama kweli duniani vituko haviishi. WB inafaidikaje kwa kushusha thamani ya pesa ya Kenya?. Tafadhali usitumie neno Afrika wakati ukimaanisha tatizo la Kenya, kama WB na IMF wangesifia pesa ya Kenya, usingetaja Afrika, ungetaja Kenya. Pambaneni na hali zenu.
You have a low IQ my friend. Uliwahi kuingia darasa kweli ama vyeti vyako Ni Kama vya Magu?
 
Kusoma sijasoma kama ulivyosoma wewe, ila ninajua kwamba uchumi wenu unanyauka. Muhimu ni kwamba, matatizo ya Kenya msijaribu kuyaingiza Africa, kwasababu mafanikio ya Kenya hamsemi ni mafanikio ya Africa.
 
kachangie kwa uzi wako wa Alshababe. Hapa sio ligi yako.
 
Tafadhari matatizo ya kenya usiseme Africa.mbona mkichukua mataji ya mbio hamsemi African.unafiki mkubwa huo
 
Back
Top Bottom