Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Hahahaha, ama kweli duniani vituko haviishi. WB inafaidikaje kwa kushusha thamani ya pesa ya Kenya?. Tafadhali usitumie neno Afrika wakati ukimaanisha tatizo la Kenya, kama WB na IMF wangesifia pesa ya Kenya, usingetaja Afrika, ungetaja Kenya. Pambaneni na hali zenu.Central Bank of kenya should work hard to ensure that kenya's shilling gets it's exact value they are some forces from Western countries to continue holding African countries hostage by undervaluing their currencies, this is unacceptable and should not be allowed to continue.
World Bank and IMF wanahujumu chumi za Africa.
View attachment 1284233
Hahahaha, ama kweli duniani vituko haviishi. WB inafaidikaje kwa kushusha thamani ya pesa ya Kenya?. Tafadhali usitumie neno Afrika wakati ukimaanisha tatizo la Kenya, kama WB na IMF wangesifia pesa ya Kenya, usingetaja Afrika, ungetaja Kenya. Pambaneni na hali zenu.
Hahahaha, ama kweli duniani vituko haviishi. WB inafaidikaje kwa kushusha thamani ya pesa ya Kenya?. Tafadhali usitumie neno Afrika wakati ukimaanisha tatizo la Kenya, kama WB na IMF wangesifia pesa ya Kenya, usingetaja Afrika, ungetaja Kenya. Pambaneni na hali zenu.
Hii ndiyo tabia chafu inayotufanya tuwachukie wakenya tatizo la Kenya wanaliita la Africa au EA ila zuri la Kenya ni la Kenya tukisema stupid monkey utasikia nyani zinalalamikaCentral Bank of kenya should work hard to ensure that kenya's shilling gets it's exact value they are some forces from Western countries to continue holding African countries hostage by undervaluing their currencies, this is unacceptable and should not be allowed to continue.
World Bank and IMF wanahujumu chumi za Africa.
View attachment 1284233
Kama unadhani wanataka kuwadhulumu, acheni kwenda kukopa kwao, endeleeni kuchukua mkopo toka China, acheni kulalamika kama watoto wadogo.Inafaidika tena pakubwa tu , remember most of the loans are given by IMF and World Bank unapolipa riba unatumia hela nyingi kuliko kawaida kwa mfano tu gavana wa benki kuu Kenya amesema shilling yetu inafaa kuwa inabadilishwa @96 against the dollar lakini kulingana na hali ilivyo Sasa tunatumia 102 kupata dollar moja kwa Nini? .
Inafaidika tena pakubwa tu , remember most of the loans are given by IMF and World Bank unapolipa riba unatumia hela nyingi kuliko kawaida kwa mfano tu gavana wa benki kuu Kenya amesema shilling yetu inafaa kuwa inabadilishwa @96 against the dollar lakini kulingana na hali ilivyo Sasa tunatumia 102 kupata dollar moja kwa Nini? .
You have a low IQ my friend. Uliwahi kuingia darasa kweli ama vyeti vyako Ni Kama vya Magu?Hahahaha, ama kweli duniani vituko haviishi. WB inafaidikaje kwa kushusha thamani ya pesa ya Kenya?. Tafadhali usitumie neno Afrika wakati ukimaanisha tatizo la Kenya, kama WB na IMF wangesifia pesa ya Kenya, usingetaja Afrika, ungetaja Kenya. Pambaneni na hali zenu.
Kusoma sijasoma kama ulivyosoma wewe, ila ninajua kwamba uchumi wenu unanyauka. Muhimu ni kwamba, matatizo ya Kenya msijaribu kuyaingiza Africa, kwasababu mafanikio ya Kenya hamsemi ni mafanikio ya Africa.You have a low IQ my friend. Uliwahi kuingia darasa kweli ama vyeti vyako Ni Kama vya Magu?
kachangie kwa uzi wako wa Alshababe. Hapa sio ligi yako.Kusoma sijasoma kama ulivyosoma wewe, ila ninajua kwamba uchumi wenu unanyauka. Muhimu ni kwamba, matatizo ya Kenya msijaribu kuyaingiza Africa, kwasababu mafanikio ya Kenya hamsemi ni mafanikio ya Africa.