Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Usipende kuamini vya kusikia sikia mkuu....tiririka katk hoja humu c mahali pakusikia sikia[emoji47]
Kenyatta alishinda uchaguzi kuna taratibu ndogo ndogo hazikufuatwa ila hakuna udanganyifu wowote uliojitokeza
Uko sahihi Mkuu, hapa kwetu kura za mzizi mrefu zilizotangazwa na tume ni tofauti kwa vituo vingi na zilizopigwa vituoni.Acha kuandika usiyoyajuwa.
1. Idadi ya kura zilizotangazwa na tume zilitofautiana kwa mbali na kura halisi majimboni.....forging data
2. Makaratasi mengi yalikuwa feki yaliyotumika natume.....
- Hayana sahihi za wahusika mengine
- hayajajazwa inavotakiwa
- mengine amesain mtu mmoja tuu sehemu zote nk
Huu ndo wizi umekuwa ukitumika pia hapa tz wa kubadilisha jumla ya kura vituoni kupewa mwenye mizizi iliyojichimbia chini zaidi kwa kutumia tume isiohuru ya makada wa ccm.
Hiyo ni kwa mujibu wa Star Tv siyo mimi au huelewi maana ya source?!!!!mkora sio mhuni unapotosh sasa
Mahakama haikuangalia matokeo bali mchakato, sasa wewe una uthibitisho gani kwamba hakuna udanganyifu?!Kenyatta alishinda uchaguzi kuna taratibu ndogo ndogo hazikufuatwa ila hakuna udanganyifu wowote uliojitokeza
Kwani haruhusiwi kunywa pombe kwa mjibu wa katiba?.Mimi " NIMESIKIA WEWE JUNYA" kweli? Achana na mambo ya kusikia ,Mengi ni uzushi !! Aliyesema kuwa ni mtumiaji Wa viroba alimuona wapi? Anao USHAHIDI?
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha alionesha ukomavu kumbe unafiki kabisa sasa anaonesha sura halisi ya watawala wa africaBaada ya jana kupongezwa kwa namna alivyoyapokea matokeo ya kesi ya uchaguzi kwa ustahimilivu, leo wakati akiongea na wajumbe wa chama chake uvumilivu ulimshinda na kuwaita wale majaji 4 kati ya 6 walioipinga tume ya uchaguzi kuwa ni wakora yaani wahuni. Source Star Tv taarifa ya habari!
Siasa za Kenya za hovyo sana!Subirini kama atashinda uchaguzi ukirudiwa wale majaji atalala nao mbele. Body language yake toka siku majibu yanatangazwa ina ashiria vita. Kumbukeni mtoto wa nyoka ni nyoka tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
We bunchari sio kweli niulize mieKenyatta alishinda uchaguzi kuna taratibu ndogo ndogo hazikufuatwa ila hakuna udanganyifu wowote uliojitokeza
Basi tuambie wewe Mkora ni nani?!wahusika wawe makini ili kuepusha kujitokeza kwa utata ktk uwasilishaji wa taarifa kwa umma