Mimi ni Mtanzania ila watakaompigia Ruto nashangaa sana. Mtu ni makamu wa Rais alafu anampinga Rais wake?? Si angejiuzulu kuliko anatumia cheo Cha Dp huku hafanyi jukumu lolote la ofisi hiyo.
Mtu anawaza Urais tokea 2017 sasa kazi angefanya saangapi? Huyu jamaa hata akiibiwa kura ni sawa tu, ameshaonyesha desperation kubwa sana kuliko kawaida.
Mbona Odinga licha ya handshake hakuomba cabinet slots zozote Wala 50% of Govt??
Funny enough alikua na 50% ya serikali tokea 2013 ila failures zote za serikali ni sababu ya UK?
Zamani nlidhani wakenya mna IQ kubwa kama mnavyojitapa kumbe na nyie zero kabisa mnaburuzwa tu kama mbuzi. Nasubiri 2027 tena mudavadi na wetangula wakidai Ruto ndio amefelisha uchumi wa nchi ilihali ni coalition members!!!