MAMBO MAGUMU BADORais wa Kenya Uhuru Kenyatta alitoa ahadi ya kutoa elimu bure kwa wananchi wa kenya.
Alitoa kauli hiyo Jana wakati akijinadi mbele ya raia wa kenya.
Alisema iwapo atapata nafasi hiyo kwa awamu ya pili atatoa elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha NNE. (O' level)
Anaiga nyayo? hivi amefanya utafiti na kuona jinsi ya kurekebisha makosa? Elimu bure ni janga akikurupuka
Wapi tumeiga, mbona elimu ya Kenya ni bure, kuanzia darasa la kwanza hadi la nane.
Alichoahidi Uhuru ni elimu ya sekondari ambayo anataka kuifanya iwe bure.
ooh kama si kitu kigeni itakuwa vizuri, nilidhani ndio kinaanzishwa. Huku naona kina changamoto
Tulikumbana na changamoto alipoanzisha Mwai Kibaki, lakini taratibu tumeendelea kuboresha.
Comment yako imenifurahisha sana. Critical thinkingSiasa bwana, wakati Mwalimu akitoa elimu bure walisema eti ni ujamaa sasa nao wanaelekea huko huko! Kibaya zaidi waliomkashifu Mwalimu wengine wako hapa hapa na walijilinganisha na Kenya! R.I.P Mwalimu.
Nani kampitisha?Huyu Kenyatta Kashapita Sijui anasumbuka na nini tena kwenye kampeni
elimu bure ambayo haina kiwango kila siku mnabadili mitaala,mtoto anamaliza la saba bila kujua kusoma na kuandika ujinga kama huu hapa chini ndio mafanikio ya elimu bureugumu wake nini?????mbna watoto hapa TANZANIA wanasoma vizuri tu?????
TATZO LENU MNSTAKA KUSIKIA MABAYA TU JUU ELIMU BURE......na hili msahau kabsa
Hebu nambie, shule hizo za bure zinapata ruzuku toka serikalini? kwa wakati? ya kutosha? zinafanya vizuri? Walimu hawana malalamiko?
Shughuli imeisha Subiri agosti tutaongea vizuriNani kampitisha?