Kenyatta appoints 14-member taskforce on miraa(Mirungi)

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
June 17, 2016
Nairobi, Kenya

Kenyatta appoints 14-member taskforce on miraa

President Uhuru Kenyatta has appointed a 14-member taskforce on the development of the miraa industry, after a controversial export ban in European markets that saw farmers loose millions of shillings.

The taskforce has three months to complete its assignment, according to a gazette notice published on Friday.

In consultation with farmers, traders and relevant stakeholders, the team will suggest ways to ensure recovery of lost markets and search for new markets for miraa produce.

Other tasks of the task force include research on miraa agronomy, variety improvement, product development and value addition.

The team will also identify opportunities for the development of capacity among farmers including identification and establishment of demonstration farms.

The gazette notice also requires the task force to suggest institutional and administrative structures for the miraa value chain and additional farming enterprises for the Miraa farmers. READ: British chamber to lobby against miraa ban

To ensure immediate implementation of the report the taskforce will also develop and attach a prioritized implementation matrix clearly stating the immediate, medium and long term strategies for the development of miraa.

Source: Kenyatta appoints 14-member taskforce on miraa
 
Serikali Tz inapaswa ihalalishe bangi, hemp ina faida mingi ukiondoa smoking, na ni biashara nzuri.
Hehehe duh lakini ile bangi hutokea Bongo ikija Kenya itakuja sababisha uchizi.
 
Ile bangi mbona ipo sana huko, wateja milioni na maushee pande iyo, watu wanatusua maisha wanauza iyo mambo, wanasomesha, maisha yanasonga poa, nashangaa serikali inabania, wakihalalisha watainua uchumi wa raia wengi.
Alafu trust me, iyo mmea ndio inaleta calmness kwenyu manyang'au, maana bila iyo na miraa, basi kila mtu angekuwa na kipande chake cha nchi. Huoni vile Uhuru yupo gentleman, basi tu watu hawamsomi jamaa na amekutana na changamoto kubwa saa hii.
 
Dah! Leo umeandika insha, sijakuzoea hivi, lazima utakua umepiga moshi wa hicho kifaa au umetafuna majani ya kutokea Ameru ya Kenya.
 
Mkuu,
Kama vile nakuona, ni wachache tunaweza kuelezea ubora wa kitu namna hii inabidi watu wa advertisement na marketing wakuchukue au hata task force ya miraa wakufanye member wa 15.
 
Insha sababu ya mafeelings, I can see profit in these stuffs na hazina madhara kama bia na sigara. Sasa kwanini hizi ziruhusiwe zingine zifungiwe. Embu niambie wewe unadhani kwanini wanakataza hizo wanaruhusu mbaya zaidi.
 
Mkuu,
Kama vile nakuona, ni wachache tunaweza kuelezea ubora wa kitu namna hii inabidi watu wa advertisement na marketing wakuchukue au hata task force ya miraa wakufanye member wa 15.

Eeh haina shida, marketing tu, ila me miraa situmii, nakulaje majani kama mbuzi aise. Pingli nywee ndio mdau wa gombaa. Nywee! Where you at, naona Raisi wenyu anawaconsider.
 
Hahaha!Hoshea jombaa,nipo aisee.Tena niko gombaa mbaya,siwajua wikendi ndo hii,afu nipo Timau,Meru county siunajua miraa inatoka Meru,Kenya?Hamna kitu kama rais U.K ku'consider' chochote.Wiki mbili sasa zimepita tangu miraa itambulike kama 'cash crop' hapa Kenya.Hii ni baada ya mswaada kuhusu miraa kupitishwa bunge na rais akatia sahihi.Inamaanisha mirungi,kahawa,majani chai na kadhalika zipo kwenye kikundi kimoja,'cash crops',si madawa ya kulevya tena!Alichofanya U.Kenyatta ni kuendeleza mikakati inayofatwa kwenye ukuzi na uuzaji wa mimea kama kahawa na majani chai.Kama mirungi ni madawa ya kulevya,sidhani ningeweza kandika nilichopost na nikaeleweka!Nimechana mirungi kutoka saa kumi,kumbuka.
 
Hehehe duh lakini ile bangi hutokea Bongo ikija Kenya itakuja sababisha uchizi.
Mtoto wa Kenyata anavuta Bangi
Kenyata mwenyewe mvuta bangi
Mbona hawajawa machizi
Hahaha!Hoshea jombaa,nipo aisee.Tena niko gombaa mbaya,siwajua wikendi ndo hii,afu nipo Timau,Meru county siunajua miraa inatoka Meru,Kenya?Hamna kitu kama rais U.K ku'consider' chochote.Wiki mbili sasa zimepita tangu miraa itambulike kama 'cash crop' hapa Kenya.Hii ni baada ya mswaada kuhusu miraa kupitishwa bunge na rais akatia sahihi.Inamaanisha mirungi,kahawa,majani chai na kadhalika zipo kwenye kikundi kimoja,'cash crops',si madawa ya kulevya tena!Alichofanya U.Kenyatta ni kuendeleza mikakati inayofatwa kwenye ukuzi na uuzaji wa mimea kama kahawa na majani chai.Kama mirungi ni madawa ya kulevya,sidhani ningeweza kandika nilichopost na nikaeleweka!Nimechana mirungi kutoka saa kumi,kumbuka.
Mbona hujaeleweka hata hivyo!!!
 
Back
Top Bottom