Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Nadhani kwenye kila habari kuna 'positive side'. Kwenye hizi habari za rais Uhuru Kenyatta na manesi ni wazi kwamba 'labour unions' za Kenya zina ukomavu wa hali ya juu kwenye masuala ya kutetea haki za wafanyikazi. Maanake rais U.K. alianza kwa kuwatishia kwamba mgomo wao ni haramu na kwamba wote watafutwa kazi. Ila hizo 'kelele' za rais ziliambulia patupu, hawatishiki ng'o 'wamekaa ngumu'!Huwa unashinda online ukitafuta negative news about Ke!!!
Sometimes post positive tukuone serious.
Binafsi sion kama Negative ila tukubali ukweli kila mtu kwa nchi zetu za africa mashariki ana hali mbaya ya kiuchumi..! kinachokera watu wanalipwa kila mwezi pesa lakini wanataka wao ndiyo wanaongezewa kila mwaka! wanatamani kuishi maisha ya juu..! Sipendi hii hali ifike mahali ata walio ajiriwa nao wajue mtaani huko serikali ina mambo mengi ya kufanya si kuongeza mishahara ya watumishi tu pekee.Huwa unashinda online ukitafuta negative news about Ke!!!
Sometimes post positive tukuone serious.
Amesema ukweli sio kwa kupenda kwake ila ni hali ya mifumo aliyoipata ikitumika. Nchi nyingi za Afrika hazijatambua, maanake tunafanya vitu vya ajabu sana, yaani mwanasiasa analipwa hela nyingi zaidi ya wale ambao juhudi zao ndio zinaendesha nchi kwa kiwango kikubwa. Walimu,manesi, watumishi wa umma kwenye ngazi za chini. Tulichanganyikiwa zamani.Binafsi sion kama Negative ila tukubali ukweli kila mtu kwa nchi zetu za africa mashariki ana hali mbaya ya kiuchumi..! kinachokera watu wanalipwa kila mwezi pesa lakini wanataka wao ndiyo wanaongezewa kila mwaka! wanatamani kuishi maisha ya juu..! Sipendi hii hali ifike mahali ata walio ajiriwa nao wajue mtaani huko serikali ina mambo mengi ya kufanya si kuongeza mishahara ya watumishi tu pekee.
Bora kwenu Kenya ila ingekuwa ndiyo Rais wa Tanzania kasema haya na siasa zetu za kipuuzi watu wangeimba mpaka basi na kulianya mtaji wa kisiasa. IFIKE MUDA TUAMBIZANE UKWELI.
BIG UP KENYATA KWA KUSEMA UKWELI.
Eti Rithlead rako rimefichwa wapi na modeleta?Nimeona ukiraramika na kumtukana. Usiwe unareta uchafu kwa hii section😂😂😂 Mega LDC mambo yamechacha anatamani ampe mkewe nchi
Wakenya lazima mkubali kujifunza vitu vingi sana toka Tanzania. Tanzania tulipitisha Sera ya kuwepo na ulinganifu wa vipato vya mishahara, yaani kusiwe na tofauti kubwa ya mishahara ya watu serikalini, ila kama kawaida yenu ya kujifanya ninyi mnajua kila kitu, mlipinga na kutubeza, sasa matokeo yake ndio kama hii migomo isiyokwisha, haiwezikani mbunge analipwa 15 times ya mwalimu au Nurses, wakigoma mnasema serikali ina mambo mengi ya kufanya, wapunguzieni hao wabunge kama mtaona migomo ya Mara kwa Mara, kila mmoja atajua kweli serikali haina pesa za kutosha.Amesema ukweli sio kwa kupenda kwake ila ni hali ya mifumo aliyoipata ikitumika. Nchi nyingi za Afrika hazijatambua, maanake tunafanya vitu vya ajabu sana, yaani mwanasiasa analipwa hela nyingi zaidi ya wale ambao juhudi zao ndio zinaendesha nchi kwa kiwango kikubwa. Walimu,manesi, watumishi wa umma kwenye ngazi za chini. Tulichanganyikiwa zamani.
Manesi wapumbavu sana hawa. Nakumbuka 2017 walivyogoma miezi sita nilipata taabu sana
Uzi mbona upo hot sana, najua moderator alieuhamisha ni Mkenya sababu kumekuwa na double standard humu, uzi unaoisema vibaya Tanzania ukiletwa na mkenya unaachwa utamalaki na hakuna wa kuugusa lakini tukileta vitu konki vya Tanzania haraka unapeperushiwa mbaliEti Rithlead rako rimefichwa wapi na modeleta?Nimeona ukiraramika na kumtukana. Usiwe unareta uchafu kwa hii section
zile changamoto alizopata JK kutoka kwa wafanyakazi hasa madaktari na walimu Chuma hakiwezi kuzimudu kabisa ndio maana kinajihami zisitokee. Muda mwingine JK anapomuita Chuma huku anacheka huwa naona kama anamkejeli kiaina'Siwezi kuongeza Mshahara kwa kiwango hicho mnachokitaka, Na Kama nyongeza hiyo ya Mshahara ndio sharti pekee la kunipa kura Basi sitaki kura zenu...'-Jakaya Mrisho Kikwete 2010
Watu wakazusha Kuwa Jakaya kakataa kura Za Wafanyakazi Kumbe ule ulikuwa Ukweli Mchungu
Leo Hii wanakumbuka Hata ile Nyongeza ya wakati wa Jk waliyoita Ni kiduchu maana Mzee Baba Chuma Cha Pua Hata ile Annual Increament ya Kila July iliyokuwa Haina Mjadala kaipeleka Kwenye Standard Gauge Na Stiglers Gauge
Mapumziko Mema Mwamba wa Siasa Za Ukanda wa Mashariki Na Pembe ya Africa
Nipo sahihi kusema manesi wa Kenya wanalipwa vyema kuliko madaktari wa TZ?