Kenyatta echoes Magufuli’s call on debt relief for African countries

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Kenyatta echoes Magufuli’s call on debt relief for African countries

THURSDAY JULY 16 2020

Kenyatta+pic.jpg

Nairobi. Kenya’s President Uhuru Kenyatta has called for the crafting of a joint European Union and Africa Covid-19 response strategy.

Mr Kenyatta said the EU-Africa Covid-19 strategy should among other interventions pursue the cancelation of debts owed by African countries echoing his Tanzanian counterpart John Magufuli’s past call.

President Magufuli has in the past called upon international lenders and donors to offer debt relief to African countries instead of asking them to borrow more.

He was speaking during a virtual conference of European and African leaders on the proposed establishment of the Africa-Mediterranean-Europe (AME) Foundation.

The setting up of AME Foundation as a platform to enhance development discourse and interactions between Africa, the Mediterranean and Europe is being championed by the Former President of the European Commission Jean-Claude Juncker.

President Kenyatta supported the proposal to establish the Foundation saying the initiative will help inject new ideas needed to scale up collaboration between the three regions.

“I, therefore, welcome with enthusiasm the proposal to establish the Africa-Med-Europe (AME) Foundation. The Foundation will complement the existing Africa-European continental cooperation in addressing the emerging global challenges,” President Kenyatta said.

Source: The Citizen

Akili za hand shake
 
Teargass MK254 Tony254 mwaswast Njooni muone mnavyoyarudia matapishi yenu.

Sasa hapo utaona ikisklizwa maana imesemwa na rais wa taifa lenye ushawishi mkubwa, ndio kama yale mapaipai ya corona, yangesemwa na rais Uhuru yaani WHO hapangekalika, ila ile kwamba yalisemwa na nyie yakapuuzwa kama makelele fulani hivi....hehehe

Anyway rais Uhuru aache haya mambo, jameni tulipe madeni ya watu, binafsi sipendi haya mambo ya kusamehewa madeni, labda yafanywe kwa mataifa maskini.
 
Baada ya kukopa za Covid-19 IMF na WB na kufikia limit, sasa Uhuru amejoin chorus ya kusamehewa kulipa...

Mwambie aendelee kupima pima pima.

Ndio tutamsamehe.

From WHO to Bretton wood hakika JIWE ni template of leadership!
 
Sasa hapo utaona ikisklizwa maana imesemwa na rais wa taifa lenye ushawishi mkubwa, ndio kama yale mapaipai ya corona, yangesemwa na rais Uhuru yaani WHO hapangekalika, ila ile kwamba yalisemwa na nyie yakapuuzwa kama makelele fulani hivi....hehehe

Anyway rais Uhuru aache haya mambo, jameni tulipe madeni ya watu, binafsi sipendi haya mambo ya kusamehewa madeni, labda yafanywe kwa mataifa maskini.

Hivi rafiki zangu wakenya mkifikia level ya nigerians si mtaja tembea juu ya vichwa vyetu
 
Mleta mada Geza Ulole una memory kama ya ngiri. Mapema mwezi Machi mbunge Jaguar na kiongozi wa upinzani Musalia Mudavali waliposema kwamba deni la china litupiliwe mbali ulikuwa wa kwanza kuwakejeli. Leo hii unasifia kisa Magufuli alisema na Rais UK akamuunga mkono. Tangaza msimamo bana acha kuwa kigeugeu. Mbunge wa Kenya aomba deni la China liondolewe kufidia madhara yaliyotokana na virusi vya Corona
Nyinyi ndo hamna msimamo,mwanzoni MAGUFULI aliposema hivyo,mlisema wanaume hawaombi kusamehewa madeni ni kulipa,sasa Uhuru kapita mlemle kwenye nyayo za MAGUFULI, sijui hii mtasemaje!yaani nyinyi wakenya, mnajua Kiingereza mingi, akili ya kuona mbali hamna jinga sana.
 
Sasa hapo utaona ikisklizwa maana imesemwa na rais wa taifa lenye ushawishi mkubwa, ndio kama yale mapaipai ya corona, yangesemwa na rais Uhuru yaani WHO hapangekalika, ila ile kwamba yalisemwa na nyie yakapuuzwa kama makelele fulani hivi....hehehe

Anyway rais Uhuru aache haya mambo, jameni tulipe madeni ya watu, binafsi sipendi haya mambo ya kusamehewa madeni, labda yafanywe kwa mataifa maskini.
Najua mnaona aibu,napenda kukumbusha kwamba, baada ya Rais MAGUFULI kutoa wito nchi za Africa kusamehewa madeni,mashirika ya kifedha na nchi nyingi za ulaya zilimuunga mkono,Uhuru anachofanya,analamba matapishi ya MAGUFULI na kujidhalilisha tu.
 
Nyinyi ndo hamna msimamo,mwanzoni MAGUFULI aliposema hivyo,mlisema wanaume hawaombi kusamehewa madeni ni kulipa, sasa Uhuru kapita mlemle kwenye nyayo za MAGUFULI, sijui hii mtasemaje! yaani nyinyi wakenya,mnajua kiingereza mingi, akili ya kuona mbali hamna jinga sana.
Walisema kina nani? Acha kujitungia hadithi ambazo hazieleweki. Mudavadi aliibuka na kauli hiyo mwezi Machi aliyeiga ni Jiwe.

Sasa hapo utaona ikisklizwa maana imesemwa na rais wa taifa lenye ushawishi mkubwa, ndio kama yale mapaipai ya corona, yangesemwa na rais Uhuru yaani WHO hapangekalika, ila ile kwamba yalisemwa na nyie yakapuuzwa kama makelele fulani hivi....hehehe
Anyway rais Uhuru aache haya mambo, jameni tulipe madeni ya watu, binafsi sipendi haya mambo ya kusamehewa madeni, labda yafanywe kwa mataifa maskini.
Alipe pesa mtowe wapi ilihali wananchi wenyewe asilimia 80 ni maskini ...hapo ninmsamaha tu mpewe bac
 
Sasa hapo utaona ikisklizwa maana imesemwa na rais wa taifa lenye ushawishi mkubwa, ndio kama yale mapaipai ya corona, yangesemwa na rais Uhuru yaani WHO hapangekalika, ila ile kwamba yalisemwa na nyie yakapuuzwa kama makelele fulani hivi....hehehe

Anyway rais Uhuru aache haya mambo, jameni tulipe madeni ya watu, binafsi sipendi haya mambo ya kusamehewa madeni, labda yafanywe kwa mataifa maskini.

Heheee, Aisee ww sijakuelewa, ww unamsifia mtoa idea ama msoma idea? Great thinker hapo ni Magufuli anayesoma ni Master of Ceremony Uhuru. Any way Kawaida siku zote MC lazima afahamike [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom