Kenyatta family land is enough to settle 20 million people

Kaka tulia sio lazima kila kitu ukanushe, katika hili usijisumbue kubishana sana, eneo ambalo uncle Magu anafanya vizuri sana ni kupambana na rushwa na kudhibiti maliasili za taifa, Uhuru amelitambua hilo na ameamua kumuigiza kwa kupambana na rushwa[emoji106] [emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Ahaaa haaa haaa
Sisi huku KILA mtu ana haki sawa ya kutafuna NCHI, lkn huko kwenu usipotoka kwenye Kenyatta, Dalamare at al families, huna chako.
 
Ahaaa haaa haaa
Sisi huku KILA mtu ana haki sawa ya kutafuna NCHI, lkn huko kwenu usipotoka kwenye Kenyatta, Dalamare at al families, huna chako.

Kwa hivo wanaoishi kwa hizi nyumba hapa wana haki sawa ya kutafuna na wale mabwenyenye wa Oyster Bay? Ndio maana nikasema mko pale tulikokua nyakati za Moi..............mnatafunwa na hamjui mnatafunwa. Hata heri sisi nyakati za Moi akina Wangari Maathai, Martin Shikuku, Odinga, Matiba n.k walipiga kelele kiasi ila kwa ukosefu wa independent media nyakati hizo hawakusikika kwa mwananchi wa kawaida. Nyie sahii munayo Social Media na stesheni za TV lakini bado mmelalia masikio.
 

Ahaaa haaa haaa
Kaka mimi binafsi siwezi bisha wala kukubali, kitu pekee ambacho nitakubaliana nacho ni taarifa uliyonayo iliyotoka kwenye chombo kinachoaminiwa inayoonesha UKUBWA wa ARDHI inayomilikiwa na familia ya Kenyatta.
 
Ujinga gani wakati hapa nipo kijana mdogo kabisa namiliki (Legally) msitu wa miti ya mbao hekari kadhaa? Na mashamba hekari kadhaa?
Trust me, haya yasingewezekana kama Serikali yetu ingekuwa na ubinafsi na Sera za Ardhi Mbovu kama alizoziweka yule Babu yenu Mkikuyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuna watu wanaishi huko kilolo Iringa wana rasilimari zenye thamani KUBWA kuliko wenye nyumba masaki.

Nyie mmeliwa hamna KITU tena.
 
Hawa Watanzania hapa wanamiliki ekari ngapi ya misitu ya miti?
 
Kuna watu wanaishi huko kilolo Iringa wana rasilimari zenye thamani KUBWA kuliko wenye nyumba masaki.

Nyie mmeliwa hamna KITU tena.
Jibu Swali nilivyokuuliza...............wanaoishi kwa hizo nyumba nilizoposti wana haki sawa na Mabwenyenye wa Oyster Bay?
 
Jibu Swali nilivyokuuliza...............wanaoishi kwa hizo nyumba nilizoposti wana haki sawa na Mabwenyenye wa Oyster Bay?

Ahaaa haaa haaa
Our law (Land Act Nr. 4, 1999) provides for equitable right to LAND. This's why we honour both granted and customery right of occupancy (tenure).
So those guys on the picha occupy land under deemed right of occupancy which has the same status or at par with the statutory right of occupancy.
 
.......oh really? So why are many Tanzanians still living in absolute poverty unable to even construct decent housing?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ahaaa haaa haaa
Kaka mimi binafsi siwezi bisha wala kukubali, kitu pekee ambacho nitakubaliana nacho ni taarifa uliyonayo iliyotoka kwenye chombo kinachoaminiwa inayoonesha UKUBWA wa ARDHI inayomilikiwa na familia ya Kenyatta.
Leta hiyo taarifa inayoaminika tupate ushahidi kwamba Kenyatta family wana ekari nusu milioni. Hiyo uliyoieka hapo juu hata wewe ukiiona tu unajua imeandikwa kiunafik.
 
Ni nadra sana kukuta watu wa vijijini kama hawa hawana Ardhi, I can assure you hao watz hapo wote wana Ardhi wanamiliki, kihalali na kisheria, njoo siku moja nikupeleke vijijini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumiliki sio Shida......hata hapa Kenya kila mtu ana kakipande kadogo. Ninachotaka uelewe ni kua, umiliki hauko sawa na unaposema Watanzania wana haki sawa unajidanganya kabisa. Kama hizo picha nilizoposti, wanaoishi hapo wana mashamba ndio Ila huwezi linganisha size za hizo mashamba na zile za WENYE nchi wanaoimiliki Tanzania. Ndio nikakueleza Kenya tunatafunwa ila tunajielewa ndio maana kila mara mnatuona tukiandamana kila kunapoibwa mali ya umma. Huko kwenu mnatafunwa na hamjielewi hadi kwa social media munadiscuss jinsi Kenya inavyotafunwa ndio maana unaweza tamka manano kama haya unayosema eti muna haki Sawa. Wacha nikwambie, hizo law unazoquote hata Kenya kunazo tena nzuri zaidi za katiba mpya ila humu duniani hamna nchi iliyo na usawa kamili na nchi za Afrika zimeshika mkia kabisa katika usawa.
 
😎Mngekua mnajielewa msingekua mnakula kisamvu kilekile kwenye sahani tofauti hao viongozi wenu wenyewe washawaona mazuzu watu wanaandamana wanachezea vichapo halafu wanakuja kutulizwa na vitu vya kijinga........kuna vichaa wanafikiria waliitoa KANU wakati watu walicheza tu chenga za roho na mwili😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…