LOL.. Jamaa unapenda kuPromote nyuzi zako::::Your land, is your sovereignty.
Now that, when a big tract of land is owned by few people. One can conclude that, (it's) when nation's dignity is with few nationals. This is normally leads to a class struggle within the nation.
Ahaa aaaa,
Weee endelea kunusa hizo flying toilets.
[emoji3][emoji3][emoji3]
LOL.. Jamaa unapenda kuPromote nyuzi zako::::
..
Ndio ziendelee kuTrend
Nipe watoto basi. Na uninunulie lipstick π π πNdiyo maana mila zetu zinakataa nyie kupewa ardhi. Ona sasa, najaribu kuamsha fikra kuhusu utu na amali (siyo mali) ya jamii yenu, wewe unaanza kuleta habari za lip stick.
Haya ni mambo yetu wazee, nyie nenda kupikia watoto.
Eti jamaa ywasema eti tandale hapanuki
Nipe watoto basi. Na uninunulie lipstick π π π
Hapapafikii kibera.
Kibera kufuru
Huko tandale bado hawajavumbua flying toilets. Kibela ndiyo bingwa.
πππAny updates regarding land redistribution?
πππ
Wako busy wanalima cash crop katika maeneo ambayo wangelima food crop wakenya wengi wangefaidika sana pamoja na kupunguza gharama za maisha kenya πππTunataka tujue je hao mabilionea wanaomiliki hiyo ardhi wanawakumbuka wenza wao katika raslimali hii muhimu?
Wako busy wanalima cash crop katika maeneo ambayo wangelima food crop wakenya wengi wangefaidika sana pamoja na kupunguza gharama za maisha kenya [emoji23][emoji23][emoji23]