Yeye ana vyombo husika vinamsaudia kuiba wenzake wataibaje?
Aisee raila amegalagazwa kama gunia la samaki
Wameshatangaza mshindi?Aisee raila amegalagazwa kama gunia la samaki
Wameshatangaza mshindi?
Or else wizi wa kura unaruhisiwa...Hiyo ndio Afrika na waafrikaKwa hiyo anakiri kuwa yeye kaiba?
Hahahaa siasa za Afrika bana!!