ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Wanahabari wa Tz ndio wamelala itabidi watie bidii na Wawe serious kwenye taaluma zao.Tanzania mpaka 2030 maswali na majibu
Wanahabari wa Tz ndio wamelala itabidi watie bidii na Wawe serious kwenye taaluma zao.
Hili lilisha fanyika siku nyingi TanzaniaTanzania mpaka 2030 maswali na majibu
Kenya sababu ya siasa wametoweka watu wengi zaidi ya Tz.Itabidi wajitoe muhanga na kukubali baadhi yao kutoweka, sasa hilo usilisubiri kwa ndugu zetu walivyo waoga.
Hebu tuwekee ya 2018 please...Hili lilisha fanyika siku nyingi Tanzania
sio jipya
Acha ujingaHebu tuwekee ya 2018 please...
Sikumskia akisema Kesho (Leo) alisema tu atawapatia ....... hata mi naingojea kwa hamu hio contract document.Safi sana, kuhusu 'habari' za bandari ya Mombasa kuchukuliwa na mchina. Rais U.Kenyatta amesema kwamba ni porojo tupu. Kesho atawapa wanahabari copy ya contract ya SGR wajionee wenyewe kwamba hakuna sehemu yoyote ambapo bandari ya Mombasa imetajwa kama 'collateral'.
Sikumskia akisema Kesho (Leo) alisema tu atawapatia ....... hata mi naingojea kwa hamu hio contract document.
In fact, akitoa hio contract tunafaa tu propose contract zote ambazo serekali zinatia saini zinafaa ziwe zinachapishwa magazetini na tovuti za serekali ndani ya Miezi Sita kila mkenya ajisomee manake ni sisi walipa kodi.... hakuna Faida yoyote Kuficha mikataba ya loan au contract ya kuchimba madini... mwanza Africa nzima tunafaa kufanya hivyo ili kampuni za nje ziwe hazina bargaining power ya kupandisha bei kulingana na nchi
ingekuwa hivyo ingependeza SANA. lkn ninachojua kwenye law of contract kuna kitu kinaitwa the privity of the contract. ONLY parties to the contract have the right to know in n out of the contract. it will be very fortunate if the private parties (companies) will agree to expose contracts to the public. they normally claim that their competitors can use that to outperform them. so it's not healthy for the wellbeing of their business.
We as The Citizens and Tax payers are part and parcel of the Contract. Nyinyi wanalumumba hamlijui hilo mnaamini supreme leader bila maswali.Hamjitambui.ingekuwa hivyo ingependeza SANA. lkn ninachojua kwenye law of contract kuna kitu kinaitwa the privity of the contract. ONLY parties to the contract have the right to know in n out of the contract. it will be very fortunate if the private parties (companies) will agree to expose contracts to the public. they normally claim that their competitors can use that to outperform them. so it's not healthy for the wellbeing of their business.
Wanahabari hawakumuitisha contract yenyewe. Aliwauliza kama wanaitaka na waliposita kumjibu akawaeleza kwamba hiyo ni haki yao. Uwazi ni jambo la msingi kwenye masuala kama hayo, kisheria chini ya katiba mpya ya Kenya 2010.Sikumskia akisema Kesho (Leo) alisema tu atawapatia ....... hata mi naingojea kwa hamu hio contract document.
In fact, akitoa hio contract tunafaa tu propose contract zote ambazo serekali zinatia saini zinafaa ziwe zinachapishwa magazetini na tovuti za serekali ndani ya Miezi Sita kila mkenya ajisomee manake ni sisi walipa kodi.... hakuna Faida yoyote Kuficha mikataba ya loan au contract ya kuchimba madini... mwanza Africa nzima tunafaa kufanya hivyo ili kampuni za nje ziwe hazina bargaining power ya kupandisha bei kulingana na nchi
Lakini overal nilipenda pale Mark Masai alipoanza kujibizana na Rais bila uoga Kama kwamba wako kijiweni wanapiga gumzo mtaani...Wanahabari hawakumuitisha contract yenyewe. Aliwauliza kama wanaitaka na waliposita kumjibu akawaeleza kwamba hiyo ni haki yao. Uwazi ni jambo la msingi kwenye masuala kama hayo, kisheria chini ya katiba mpya ya Kenya 2010.
Lakini overal nilipenda pale Mark Masai alipoanza kujibizana na Rais bila uoga Kama kwamba wako kijiweni wanapiga gumzo mtaani...
President Kenyatta: Do you know what the debt of the Japanese government is?
Related Content
Mr Masai: I’m not really concerned about Japan.
- Uhuru: What my legacy and 2022 pol
- China states position on SGR probe
- Port is safe from SGR loan, China now says
President Kenyatta: Do you know what the Kenyan debt is?
Mr Masai: As I said, right now it’s something between Sh4.5 and Sh4.8 trillion
President Kenyatta: No, no, no. As a percentage of the GDP [gross domestic product], talk like an economist.
Mr Masai: 56 per cent of the GDP.
President Kenyatta: What is Japan’s debt?
Mr Masai: I’m not in Japan so I’m not interested in Japan but Kenya
President Kenyatta: Japan’s debt is over 100 per cent of the GDP.
Nonetheless, Mr Kenyatta defended his borrowing policy, saying he has no qualms about acquiring credit to fund development projects.
The President also said he was willing to provide journalists with a copy of the contract with China for Kenyans to ascertain that the port was not used as security.
You are just angry because nobody used Tz as an example. Sorry, try again next time. 😎Japan is not at the same level with your economy. Japan is too advanced economy to be compared with Kenya. find the comparable economy to be gauged with yours.
You are just angry because nobody used Tz as an example. Sorry, try again next time. 😎