these guys are obsessed with Kenya....why cant you worry abt what is going on in TZ and leave our country alone? btw, hkuna mkenya hata mmoja ambaye huwa anajishugulisha na siasa za TZ kila uchao...
Kuna mkenya hapa, sikumbuki ni nani alikuwa anapenda kuwaambia waache ufakdem! Sijui alikuwa anamaanisha nini lakini hii ya watz na siasa ya KE ndo defination! Ni wewe jombaa?