Kenyatta: Nitakubali mkiniongeza muda Madarakani

Kenyatta: Nitakubali mkiniongeza muda Madarakani

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,310
Reaction score
7,465
KENYATTA amekubali hadharani kwamba yupo tayari kuendelea na mamlaka ya serikali baada ya kustaafu.
JPM atakapo kubali wito huo huo wa wananchi 2025, Mikenya msije hapa na riwaya za democrasia.
Lazima wanao chapa kazi kama jembe uncle magu waendelee na pia wanoa iba nchi waendelee
IMG_20191116_101327.jpg
 
Hafai hata kuwa muhudu wa Bar huyo mpuuzi, msikubali wakenya, mwacheni aende kunywa pombe.
 
Back
Top Bottom