KENYATTA amekubali hadharani kwamba yupo tayari kuendelea na mamlaka ya serikali baada ya kustaafu.
JPM atakapo kubali wito huo huo wa wananchi 2025, Mikenya msije hapa na riwaya za democrasia.
Lazima wanao chapa kazi kama jembe uncle magu waendelee na pia wanoa iba nchi waendelee