Kenyatta: Wasaliti ni Wengi Sana lakini fedha si lolote Yuda Iskarioti alimsaliti Yesu akaishia kutafuta kamba na kujinyonga!

Kenyatta: Wasaliti ni Wengi Sana lakini fedha si lolote Yuda Iskarioti alimsaliti Yesu akaishia kutafuta kamba na kujinyonga!

Watu Wengi wamepigwa bumbuwazi ni hii kauli aliyoitoa mstaafu Kenyatta mbele ya Jopo la Maaskofu

Kwamba Wasaliti ni Wengi Sana

Mlale Unono 😀😀
Iko vile bandugu !
Jaza mapesa na mali zote unazozijua wewe hapa Duniani lakini ipo siku huyo mtu atajua ukweli wa maisha kuwa ni fumbo tu !!
Hamna lolote hapa !
Huyo Mheshimiwa ameshaujua huo ukweli ndio maana amesema hayo aliyoyasema !
Hongera zake Mungu amemzindua bado akiwa na nguvu zake !
Wengine huwa wanajulishwa hiyo kitu when it’s too late ⏰ !
 
Back
Top Bottom